Sidhani, Hawavai hivo pia kofia yake isingekosekana kichwani.
Kama KKKT mbona kwenye wasifu wake hana watoto wala mke?Huyu ni KKKT
RIP baba askofuApumzike kwa amani. Alikuwa mkuu wa KKKT kabla ya Malasusa aliyemwachia Shoo.
SawaSidhani, Hawavai hivo pia kofia yake isingekosekana kichwani.
Kubwa zaidi angalia mapambo ya kanaisa kwa nyuma! Bila sababu ya msingi RC hawaweki mapambo ya hivo bila Codes za kilutrijia.
(Sijasema hapo yupo kanisani)
Huyo wasifu haujakamilika. Na ni KKKT sio KKTKama KKT mbona kwenye wasifu wake hana watoto wala mke?