Maghayo JF-Expert Member Oct 5, 2014 14,259 30,814 Jul 2, 2016 #82 Akina makamba watauzuria kwel huo msiba? Maana hizo familia mbil zilikuwa na uhasama mkubwa? Dah kamaliza safari yake apumzike na bwana Yesu
Akina makamba watauzuria kwel huo msiba? Maana hizo familia mbil zilikuwa na uhasama mkubwa? Dah kamaliza safari yake apumzike na bwana Yesu
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,639 61,080 Jul 2, 2016 #84 Pole Mzee wa Mafuriko kuondokewa na Mfuasi wako!
lukesam JF-Expert Member Feb 23, 2015 12,451 25,719 Jul 2, 2016 #88 R.I.P Shelukindo Beatrice.. Mungu awatie nguvu wafiwa!
Zuleykha JF-Expert Member May 20, 2016 1,163 1,657 Jul 2, 2016 #93 Hakika sote tutarejea Be among of who R.I.P
K KALEBE JF-Expert Member Aug 11, 2011 773 338 Jul 3, 2016 #98 Ohoooooo mwenyezi mungu amlaze mahali pema. R.I.P shelukindo
LadyAJ JF-Expert Member Oct 21, 2015 7,173 9,633 Jul 3, 2016 #100 Bassem said: Lete taarifa kamili amefia wapi, alikuwa na maradhi au ni ajali? Click to expand... Ushaambiwa Arusha na baadhi washasema ugonjwa wewe unataka taarifa gani kama si kujipendekeza?
Bassem said: Lete taarifa kamili amefia wapi, alikuwa na maradhi au ni ajali? Click to expand... Ushaambiwa Arusha na baadhi washasema ugonjwa wewe unataka taarifa gani kama si kujipendekeza?