TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

NDULUMESO

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
243
177
image.jpeg

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.

Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.

Innalillah waina illaih rajiun
 
Amepambana kishujaa na ugonjwa. Mungu wa Rehema na aipumzishe Roho ya Beatrice mahali pema peponi......
 
Dah so sad, RIP Fighter.... nadhani mumewe pia aliwahi kuwa Mbunge na balozi..William Shelukindo..ndio huyo?

RIP mama Beatrice Matumbo Shellukindo aliye kuwa mbunge wa Africa mashariki enzi Za akina mwakyembe baadaye mbunge wa kilindi !mume wake hajawahi kuwa Balozi ila mtoto wa Mzee Shellukindo ndio Balozi anaitwa Balozi Samuel Shellukindo!
 
Mama shujaa jamani....Mungu ilaze roho yake mahali pema peponi!

Mashujaa wanaanza kupukutika!
 
#Breaking News Mh. BREATRICE SHELUKINDO aliyekuwa Mbunge wa Kilindi kwa tiketi ya CCM Afariki Dunia. R.I.P Kiongozi wetu poleni sana wafiwa.

1467486610135.jpg
 

Attachments

  • 1467486582027.jpg
    1467486582027.jpg
    28.7 KB · Views: 115
Back
Top Bottom