TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

Mjifunze ugonjwa au maradhi ya mtu ni mambo binafsi na kama kwenye taarifa hawajasema huna haja ya kuuliza hilo,toa pole uende zako

Umeandika vizuri, watu wengine wambea sana...
 
R I P Mama Shelukindo Beatrice Matumbo.Poleni wafiwa hasa mdogo wake Solomon Matumbo wa Mt Meru Hospital.
Mkuu mbona Dr Soloo ( Solomon Matumbo) alishatangulia mbele ya haki kitambo miaka kadhaa sasa, charlii safii sana wa Arusha city! Mungu azilaze roho zao mahali pa pumziko la milele yeye na huyu dada yake, tuseme ameen.
 
Ingawa alikua ccm bungeni lkn alipambana ukidhani ni ukawa alisimama daima kulitetea taifa alikua kitaifa zaidi
 
Back
Top Bottom