TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

RIP mama Beatrice Matumbo Shellukindo aliye kuwa mbunge wa Africa mashariki enzi Za akina mwakyembe baadaye mbunge wa kilindi !mume wake hajawahi kuwa Balozi ila mtoto wa Mzee Shellukindo ndio Balozi anaitwa Balozi Samuel Shellukindo!
Shukran
 
Dah nasikia ni kweli! Hajawahi kuonja hili bunge na hata kugombea ilikuwa kibishi tu! Alikuwa mgonjwa wa kutakiwa kupumzika.
 
Israeli naye yuko mwendo kasi awamu hii. R.I.P kama ni kweli.
 
Duuu poleni familia kweli wema hawadumu! Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe Ameen
 
Ohhh my God. Siku nyingi sijamsikia kabisa Huyu Mh. Poleni sana wote. Pole sana Faith Matumbo.
 
Mkuu NDULUMESO quotation yote hiyo mkuu mwisho umetuwekea picha moja ya marehemu..duh,umetisha yaan post 1 umeinukuu mara 7?any way Mungu amlaze pema.
 
Back
Top Bottom