Nguruvi3,
Sisi si watoto wadogo. Kikwete aliposema wakimbizi haramu akiwa mkoa wa Kagera kila mtu mwenye akili alijua wanaolengwa ni akina nani. Hata kama Waganda 50 wamekumbwa katika msako huo walioathirika zaidi ni Wanyarwanda, hata wale ambao wameishi Tanzania zaidi ya miaka sitini. Sijaona popote pale zoezi la kuwakamata na kuwafukuza Wachina ambao wana madanguro yao Dar-es-Salaam likiendelea, au Wahindi na wapakistan ambao wanaitana na kupeana ajira katika viwanda wanavyoongoza, au wasomali ambao nasikia wamejaa na kununua mashamba Rufiji. Sijaona. Mpaka nitakapoona hivyo, na muda unazidi kwenda, nitaendelea kuamini kuwa Kikwete alilenga Wanyarwanda kwa sababu za kisasi chake tu kwa Kagame.
Xenophobia ni hatari kweli! Mzee mzima unapoteza rationale.
Hao majambazi sugu, wanaoteka magari yetu na kuua wananchi wetu wamekutwa na magobole 64 na shotgun 11 katika population ya watu zaidi takriban 2000! Hizo SMG ambazo ndizo silaha of choice za majambazi sugu zikowapi? Hivi wakitusachi sisi tunaoishi maeneo kama hayo hawatatukuta na silaha? Hawa wanakaa katika makambi, katika sehemu ambazo zina wanyama hatari, hivi kweli ni ajabu kuwakuta na magobole na shotgun ambazo ni silaha za uwindaji!
Unapiga hesabu za services ambazo tunatakiwa kuwapa. Uko nchi gani mwenzetu? Mara ngapi hizo huduma zimetolewa huko vijijini kwa kodi yako? Kawaida ni wananchi wanaoishi katika maeneo husika ndio wanaojitolea kujenga madarasa, kliniki n.k. Na kama hawa unaowaita wahalifu wanaishi katika maeneo hayo basi bila shaka watachangia katika ujenzi wa shule na zahanati hizo.
Kwani ni uongo kuwa Rwanda imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo kuliko sisi? Kwani ni uongo kuwa Rwanda wamepiga vita uchafu na ubadhirifu wa mali ya umma kwa mafanikio kuliko sisi. Sasa kwa nini wasisifie walikotoka waliowatangulia? Hiyo nayo kweli ni sababu ya kumfuza jirani yako? Basi baada ya hawa tuwageukie wachaga na wahaya ambao hawasiti kutukumbusha kuwa wameendelea kuliko sisi wengine.
Shotgun si SMG. Kabla ya uhuru zilikuwepo pamoja na magobole ambayo yalitumika sana kuwinda nguruwe mwitu na wanyama wengine waharibifu.
Waliokimbilia Goma ni wahutu ambao walikuwa wakiwakimbia wakina Kagame. Na hawa walianza kuwashambulia wakina Kagame kutoka makambi hayo na sio wananchi wa Kongo. Wakina Kagame wakikumbuka waliyofanyiwa walijibu mapigo kwa kushambulia makambi hayo na kujaribu kuwarejesha Rwanda wale ambao waliwaona kama wanahusika na mauaji ya mwaka 1994. Sasa wewe unataka kutuambia kuwa wakina Kagame watakuja kushambulia Tanzania kwa sababu kuna watutsi wanaishi huku? Hiyo ina mantik kweli?
Mimi nakumbuka kabla hatujaanza hizi siasa za chuki, warundi walikuwa wanadharauliwa sana katika hayo maeneo. Wao walikuwa wa tabaka la chini wakilimishwa n.k. Dhulma yote hiyo tuliona sawa. Leo, wamekusanya kidogo walichovuna na kununua mashamba na mifugo tunataka kuwafukuza ati wanaringa! Ala, kumbe haja yetu ilikuwa ni kuwachuna siku zote na kuwafanya watwana wetu.
Kama nilivyosema hapo awali, hii chuki mnayoiendekeza haiendani na nchi ambayo wengi wetu tunajivunia. Hata muirembeshe vipi, ni xenophobia inayowasumbua.
Amandla......
Mkubwa Fundi, za kupotea!Xenophobia ni hatari kweli! Mzee mzima unapoteza rationale.
Hao majambazi sugu, wanaoteka magari yetu na kuua wananchi wetu wamekutwa na magobole 64 na shotgun 11 katika population ya watu zaidi takriban 2000! Hizo SMG ambazo ndizo silaha of choice za majambazi sugu zikowapi? Hivi wakitusachi sisi tunaoishi maeneo kama hayo hawatatukuta na silaha? Hawa wanakaa katika makambi, katika sehemu ambazo zina wanyama hatari, hivi kweli ni ajabu kuwakuta na magobole na shotgun ambazo ni silaha za uwindaji!
Unapiga hesabu za services ambazo tunatakiwa kuwapa. Uko nchi gani mwenzetu? Mara ngapi hizo huduma zimetolewa huko vijijini kwa kodi yako? Kawaida ni wananchi wanaoishi katika maeneo husika ndio wanaojitolea kujenga madarasa, kliniki n.k. Na kama hawa unaowaita wahalifu wanaishi katika maeneo hayo basi bila shaka watachangia katika ujenzi wa shule na zahanati hizo.
Kwani ni uongo kuwa Rwanda imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo kuliko sisi? Kwani ni uongo kuwa Rwanda wamepiga vita uchafu na ubadhirifu wa mali ya umma kwa mafanikio kuliko sisi. Sasa kwa nini wasisifie walikotoka waliowatangulia? Hiyo nayo kweli ni sababu ya kumfuza jirani yako? Basi baada ya hawa tuwageukie wachaga na wahaya ambao hawasiti kutukumbusha kuwa wameendelea kuliko sisi wengine.
Shotgun si SMG. Kabla ya uhuru zilikuwepo pamoja na magobole ambayo yalitumika sana kuwinda nguruwe mwitu na wanyama wengine waharibifu.
Waliokimbilia Goma ni wahutu ambao walikuwa wakiwakimbia wakina Kagame. Na hawa walianza kuwashambulia wakina Kagame kutoka makambi hayo na sio wananchi wa Kongo. Wakina Kagame wakikumbuka waliyofanyiwa walijibu mapigo kwa kushambulia makambi hayo na kujaribu kuwarejesha Rwanda wale ambao waliwaona kama wanahusika na mauaji ya mwaka 1994. Sasa wewe unataka kutuambia kuwa wakina Kagame watakuja kushambulia Tanzania kwa sababu kuna watutsi wanaishi huku? Hiyo ina mantik kweli?
Mimi nakumbuka kabla hatujaanza hizi siasa za chuki, warundi walikuwa wanadharauliwa sana katika hayo maeneo. Wao walikuwa wa tabaka la chini wakilimishwa n.k. Dhulma yote hiyo tuliona sawa. Leo, wamekusanya kidogo walichovuna na kununua mashamba na mifugo tunataka kuwafukuza ati wanaringa! Ala, kumbe haja yetu ilikuwa ni kuwachuna siku zote na kuwafanya watwana wetu.
Kama nilivyosema hapo awali, hii chuki mnayoiendekeza haiendani na nchi ambayo wengi wetu tunajivunia. Hata muirembeshe vipi, ni xenophobia inayowasumbua.Amandla......
................ Kwa taarifa yenu ni kwamba, raia wa Rwanda ndio wanaoongoza kwa kuwa wahamiaji haramu kwani wakisha ingia nchini wanamalizana na viongozi wa vijiji basi kwao ndio wameahakuwa raia wa Tanzania. Sheria ya Uraia Tanzania haisemi kwamba ukiiishi nchini kinyume cha sheria kwa miaka 40 utakuwa umeshakuwa raia. Hii ndio inaowatafuna baadhi ya wanyarwanda. Kagera bila wahamiaji haramu inawezekana
Yaani leo kwa sababu inawahusu wanyarwanda ndio tunaona vyombo vyetu vya dola kuwa paragons of fairness! Hao ambao kila kukicha tunawasakama kwa kuwaonea wananchi, kwa kutumia nguvu kupita kiasi n.k. tukiambiwa kuwa vitendo hivyo hivyo vinafanywa dhidi ya wanyarwanda tunadai ni spinning. Tuna tofauti gani na wajerumani na makaburu ambao mara tu ya tawala zao dhalimu kuanguka wakapata collective amnesia.
Mkubwa Fundi, za kupotea!
nina hakika nimekugusa inabidi tuvumiliane tu.Sina xenophobia na yoyote,nimeishi sehemu nyingi zenye watu wa aina tofauti. Nimeishi Tarime na wajaluo,kule kwa wemba nyanda za juu, Nandembo achili hapo Kigoma nilipo na kibanda cha kuishi japo kuku kabisa. kwahiyo nina ufahamu mzuri sana wa majirani zetu the least to say.
Sijui kwanini watu wanakereka sana tunapozungumzia wahamiaji haramu. Kila mtu ana asili yake hiyo haituzuii kuunga mkono sheria zinapofuatwa.Nimeuliza hivi ni sheria gani ya kimataifa imevunja, hakuna mwenye jibu.Haki gani za binadamu zimevunjwa, hakuna jibu.In other words kila jambo limefanyika kwa kisheria ila tu watu hawakupenda lifanyike! strange
ushahidi usio na shaka majambazi wengi ni Wanyarwanda.kila mahali tuilipopita na maiti watu hawakusema majamabazi, walisema majamabazi ya kinyarwanda.Wabunge wamesema hivyo na kila mtu anajua hilo hata Wanyarwanda wenyewe.
Baada ya kufyekana vichwa kwa kimbari, tuliwapokea kama wakimbizi milioni zaidi ya 2. Bajeti ya kuwaweka ilikuwa kubwa kuliko bajeti ya elimu. Ujira wao kwetu ni kutufanya tuishi kama wakimbizi ndani ya nchi yetu. Sasa nikisema naambiwa xenophobia.
Nani asiyejua kuwa hawa ni wahamiaji haramu, wanamiliki silaha na na wametumia silaha hizo kupora mali ambazo leo wanadai ni halali. Lakini pia wamepata wapi uhalali wa kununua ardhi wakiwa hawana vibali vya kuishi nchini?
Maswali hayo watu hawana majibu ila wanaumia yanapoulizwa, sijui kwanini.
Kuhusu maendeleo hilo halina taabu lakini basi wajiulize kuna maendeleo gani leo kama mtu hataki kurudi kwao?
au ndiyo yale ya heri masikini huru kuliko tajiri mtumwa. Na kwanini mtu aogope kurudi nyumbani kwao? na kuna kosa gani kumwambia mtu arudi kwao? hiyo ni xenophobia kweli!
Watu wanaotetea hoja ya wahamiaji haramu hawatuelezi wapi kwenye kosa bali wanatafuta sababu za kuunga unga ili ku justify hoja.Eti mhamaiaji aachwe kwasababu ana watoto, to hell! sheria gani inasema ukizaaa unapata uraia wa taifa lolote! ipi hiyo.
Wengine wanasema mbona kuna wajaluo hawajarudishwa au wasomali, yaani mtu asimame mbele ya sheria na kusema kwanini ahukumiwe kwa uhalifu wjkati kuna mhalifu mwingine hajahukumiwa! real wananchi wenzangu
Lazima suala la wahamaiaji haramu lisemwe na kwabahati mbaya sana Wanyarwanda wamelichukua kama tatizo lao peke yao tena sasa wanafanya stupid spinning eti walilengwa Watuts.
Bado pamoja na fadhila zetu kwao mnakubali watu hawa waendelee kututukana kwasababu ni watusi! who au tutsi by the way!
Nasema mtusi ni Rwanda akiwa Tanzania hatujui utusi wake tunajua ubinadamu wake.
Hawa walitakiwa wafungwe miaka mingi halafu wakitoka magereza wanabebwa kuelekea kwao. Ni sheria sio xenophobia. Mhalifu unampa siku za kuondoka na mali zake! Tanzania njema sana.
.......mtusi ni Rwanda!.... akiwa Tanzania hatujui utusi wake tunajua ubinadamu wake.
Hawa walitakiwa wafungwe miaka mingi halafu wakitoka magereza wanabebwa kuelekea kwao. Ni sheria sio xenophobia. Mhalifu unampa siku za kuondoka na mali zake! Tanzania njema sana.
Hakuna aliyenunua ardhi, ni wachache sana.
Huko kwenye pori la burigi na mbugani wanafika na kuweka ng'ombe zao takribani 2000 kil kaya, huko hakuna anayeishi, wao wanaishi kwa kuhama hama humo porini. Kwa asilimia 95% wengi wao wanaishi mbugani ambako wanaweza ku accomodate ng'ombe nyingi, hakuna serikali huko na mpaka unapitika kila mahala na ili uudhibiti lazima uwe na satelite ya kutosha kitu ambacho hakiwezekani.
.....Kwa wale walio onewa nafikiri ni jambo la busara waende mahakamani na kudai fidia na usumbufu waliosababishiwa wakikosa wapeleke malalamiko kwa mashirika ya haki za binadamu duniani. Lakini kulalamika kwenye mitandao na magazeti kutadhidi kuthibitisha ya kwamba ni wahamiaji haramu.
Raia yeyoyote watanzania aliyepelekwa ktk nchi isiyo yake, kwanza hatakubali kwenda huko na kama akipelekwa kwa nguvu basi atafuata taratibu mpaka arudi kwao na pili nchi husika haitakubali kupokea mtu asiyekuwa raia wake. Kuthibitisha hilo, chukueni wanyarwanda wawili wapakieni kwenye ndege nendeni mkawatupa Zambia ama England mseme mmewa deport, muone kama nchi hizo zitakubali hata kuwapokea.
Mkubwa Fundi, za kupotea!
nina hakika nimekugusa inabidi tuvumiliane tu.Sina xenophobia na yoyote,nimeishi sehemu nyingi zenye watu wa aina tofauti. Nimeishi Tarime na wajaluo,kule kwa wemba nyanda za juu, Nandembo achili hapo Kigoma nilipo na kibanda cha kuishi japo kuku kabisa. kwahiyo nina ufahamu mzuri sana wa majirani zetu the least to say.
Sijui kwanini watu wanakereka sana tunapozungumzia wahamiaji haramu. Kila mtu ana asili yake hiyo haituzuii kuunga mkono sheria zinapofuatwa.Nimeuliza hivi ni sheria gani ya kimataifa imevunja, hakuna mwenye jibu.Haki gani za binadamu zimevunjwa, hakuna jibu.In other words kila jambo limefanyika kwa kisheria ila tu watu hawakupenda lifanyike! strange
ushahidi usio na shaka majambazi wengi ni Wanyarwanda.kila mahali tuilipopita na maiti watu hawakusema majamabazi, walisema majamabazi ya kinyarwanda.Wabunge wamesema hivyo na kila mtu anajua hilo hata Wanyarwanda wenyewe.
Baada ya kufyekana vichwa kwa kimbari, tuliwapokea kama wakimbizi milioni zaidi ya 2. Bajeti ya kuwaweka ilikuwa kubwa kuliko bajeti ya elimu. Ujira wao kwetu ni kutufanya tuishi kama wakimbizi ndani ya nchi yetu. Sasa nikisema naambiwa xenophobia.
Nani asiyejua kuwa hawa ni wahamiaji haramu, wanamiliki silaha na na wametumia silaha hizo kupora mali ambazo leo wanadai ni halali. Lakini pia wamepata wapi uhalali wa kununua ardhi wakiwa hawana vibali vya kuishi nchini?
Maswali hayo watu hawana majibu ila wanaumia yanapoulizwa, sijui kwanini.
Kuhusu maendeleo hilo halina taabu lakini basi wajiulize kuna maendeleo gani leo kama mtu hataki kurudi kwao?
au ndiyo yale ya heri masikini huru kuliko tajiri mtumwa. Na kwanini mtu aogope kurudi nyumbani kwao? na kuna kosa gani kumwambia mtu arudi kwao? hiyo ni xenophobia kweli!
Watu wanaotetea hoja ya wahamiaji haramu hawatuelezi wapi kwenye kosa bali wanatafuta sababu za kuunga unga ili ku justify hoja.Eti mhamaiaji aachwe kwasababu ana watoto, to hell! sheria gani inasema ukizaaa unapata uraia wa taifa lolote! ipi hiyo.
Wengine wanasema mbona kuna wajaluo hawajarudishwa au wasomali, yaani mtu asimame mbele ya sheria na kusema kwanini ahukumiwe kwa uhalifu wjkati kuna mhalifu mwingine hajahukumiwa! real wananchi wenzangu
Lazima suala la wahamaiaji haramu lisemwe na kwabahati mbaya sana Wanyarwanda wamelichukua kama tatizo lao peke yao tena sasa wanafanya stupid spinning eti walilengwa Watuts.
Bado pamoja na fadhila zetu kwao mnakubali watu hawa waendelee kututukana kwasababu ni watusi! who au tutsi by the way!
Nasema mtusi ni Rwanda akiwa Tanzania hatujui utusi wake tunajua ubinadamu wake.
Hawa walitakiwa wafungwe miaka mingi halafu wakitoka magereza wanabebwa kuelekea kwao. Ni sheria sio xenophobia. Mhalifu unampa siku za kuondoka na mali zake! Tanzania njema sana.
Tena wanasema kwanini wahindi na wapakistani hawaondolewi. Well, wasomali wanashatakiwa wanakula kifungo na wanarudishwa kwao kwanini hilo halifanyiki kwa hawa wengine wanaopewa mwezi na escort ya mizigo yao! ukiuliza unaambiwa haki za binadamu, sasa haki gani zinazofanyika kwa mhamiaji kutoka sehemu fulani na si kwa kila mhamiaji haramu kama waethiopia na wasomali. rationale iko wapi.....kwa kweli inashangaza sana kuona watu wanailaumu serikali kutekeleza majukumu yake kisheria......wanasahau kuwa wahamiaji haramu ilibidi washtakiwe wafungwe na warudi kwao bila chochote........
....kuna nchi fulani....ukizidisha hata siku moja ya ukazi kinyume na sheria ya nchi yao...hawakuachii....ukiwa kizuizini wanakupigia hesabu za faini kulingana na profession yako na siku ulizozidisha na %ge juu.....otherwise mahakamni then kifungo or both faini, mahakamni then kifungo......
sisi tunaaambiwa tunavunja haki za binadamu.......haki za binadamu zinaandamana na responsibility.....sio hivihivi tu!
Sidhani kama anataka waishi ukimbizini. Ubinadamu unasema kuwa mtu akishaweka mizizi basi si mkimbizi tena. Utamuitaje mtu ambae amezaliwa Tanzania, amesoma Tanzania, ameoa Tanzania, amejenga Tanzania, anachangia uchumi wa Tanzania mkimbizi kwa vile tu wazazi wake hawakuomba uraia walipohamia kabla ya uhuru!
Kagame ingawa alikuwa raia wa Uganda alijitambua kama mtu wa Rwanda. Hawa tunaowaongelea ni watu wa kawaida ambao wanajitambua kama watanzania na sio wanyarwanda. Kwa wale ambao ni kama Kagame hawatangoja waambiwe toka! hatuwatendei haki hata kidogo.
Kwa mtindo huu, tutamalizana.
Amandla......
Nzuri tu, Mkuu. Slightly disappointed na hali ya jamvi niliyoikuta.
Pamoja na wewe kudai kuwa si mbaguzi, maneno yako yanakusuta. Kuishi na watu wengi hakukuondolei hiyo sumu ya kibaguzi kama unayo. Hata wakina Rush Limbaugh wakibanwa wanasema wana marafiki wengi weusi.
Unataka kujua ni sheria gani ya kimataifa imevunjwa na hili zoezi? Ni ile inayosema kuwa mtuhumiwa yeyote atapewa nafasi ya kujitetea dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake mbele ya chombo chenye dhamana ya kutenda haki. Chombo hiki ni mahakama na si Afisa Uhamiaji, polisi au mtendaji wa kijiji. Ukiondoa banana republic (ambako mnataka kutupeleka) , wale ambao wanashukiwa kuishi nchini nje ya utaratibu wanapelekwa Mahakamani ambako wanapata nafasi ya kujitetea. Ni Mahakama ndio inayowatamka kuwa Wahamiaji haramu na si vigilantes waliojaa wivu. Mbona Jenerali Ulimwengu aliposhukiwa kuwa ni mhamiaji haramu hakuswagwa kwenye lori na kupewa siku 14 awe nje ya nchi? Au haki na taratibu zinafuatwa kwa wale wenye uwezo tu?
Unatuambia kuwa ushahidi uliowazi ni kuwa majambazi wengi huko mipakani ni wanyarwanda. Ushahidi huo ni matamshi ya wenyeji wa huko ambao bila shaka watakuwa wepesi kuwahukumu wageni kuliko ndugu zao. Mara ngapi humu ndani tumekazania kuwahukumu wahindi na kusahau ushiriki mkubwa wa wazawa wenzetu? Rafiki yangu, Ogah nae ni kama wewe. Amejaa xenophobia na racism. Huyu rafiki yangu anatusimulia jinsi alivyopambana na wasomali wahamiaji haramu bila kutueleza alipata wapi muda wakati wakirushiana risasi wa kuuliza pasi zao, vitambulisho vyao n.k. Kwake yeye msomali yeyote ni mhamiaji haramu, conveniently akiwasahau wakina Rage ambao wako humu kwa miongo mingi na ni watanzania kama yeye!
Kuna mmarekani maarufu mmoja kwa jina alikuwa akiitwa William Bennet ambae alisema kama watoto wote weusi wakiwa aborted nchini mwake, uhalifu utashuka sana. Na sisi tumefikia hapo, kwa kuamini kuwa wanyarwanda wote wakitimuliwa basi nchi yetu itageuka paradiso tukisahau kuwa bado tutaendelea kuua maalbino, kuwapiga nondo bibi vizee, kuwasachi majeruhi wa ajali, kubeba unga, kuvamia mabenki n.k. Kama kuna muovu mnyarwandwa akamatwe, apelekwe mahakamani na akipatikana na hatia ahukumiwe kama binadamu mwingine. Hii kuhukumu jamii nzima kutokana na maneno na imani ya baadhi yetu kutatutokea puani. Baada ya wanyarwanda tutawageukia wachaga n.k. ambao wote tunajua ni majambazi sugu. Msitupeleke huko.
Amandla......
....... Na sisi tumefikia hapo, kwa kuamini kuwa wanyarwanda wote wakitimuliwa basi nchi yetu itageuka paradiso ...........
....... Kama kuna muovu mnyarwandwa akamatwe, apelekwe mahakamani na akipatikana na hatia ahukumiwe kama binadamu mwingine. ..........
Good analysis and argument......Hii ndio hali halisi ya wahamiaji wengi......tena wengi wanajua kabisa wanakuja kwa kuvunja sheria......baadaye wanajisahau wakifikiri viongozi wa vijiji ndio NGAO ZAO KUU.......sasa hivi wanalalamika kwani wametumia pesa zao nyingi kuvunja sheria......huku wakishirikiana na viongozi WASIO WAADILIFU.....na hao viongozi hutoa rushwa pia kwa baadhi ya maafisa Uhamiaji.........pamoja na yote hayo.....inapofika wakati tunataka kutimiza wajibu wa kutekeleza sheria za nchi yetu......asitokee mtu wa kutushurutisha.........
....wengi ya wanaotetea wahamiaji haramu hapa JF kwa visingizio vya kila aina na ambavyo havina mashiko.....hawajui hali halisi kule mikoa ya mipakani......nimeishi kule na nimeshuhudia mambo mengi sana.......na sikuanza juzi kupiga kelele kuhusu hawa wahamiaji haramu......na mazoezi kama hayo hayakuanza juzi......
......kuna jamaa yangu hapa mmoja anasema majambazi yale yanayoteka na kutesa wananchi wanashirikiana na ndugu zetu....well point taken.....kuna ukweli kiasi kwani hata sisi tuna watu amabao ni wahalifu......again..however...mtu anasahau kuwa wahalifu kutoka nje imekuwa ni rahisi sana kujenga "safe heavens" kupitia wahamiaji haramu walio na asili ya kutoka kwao....ambao wengi wao ni wafugaji huku wakilipwa pesa na majambazi hayo na pia wakipewa silaha.....jambo hili sisi wananchi wa mikoa ya mipakani tunafahamu vizuri sana....haya mambo.......na ndio maana mara kwa mara taarifa zimekuwa zikitolewa kwa viongozi........Nendeni mkamuulize Kanali Massawe au wakuu wa mikoa iliyoko mipakani na mabaraza yao ya usalama wana taarifa ngapi toka kwa wananchi kuhusu majambazi na wahamiaji haramu..........
....kushirikiana kwa majambazi wa nchi tofauti ni kitu ambacho ni ngumu sana.....jambazi yeyote atakuambia ni risk kubwa kufanya unless wawe wanafahamiana kama ilivyokuwa Kagame na Museveni....hawa jamaa wanaweza kufanya ujambazi kwa umoja....na si vinginevyo......moja ya experience yetu hapa bongo ni Majambazi ya kisomali na uhusiano wao na wasomali waishio nchini both raia na wageni.......hii ni habari nyingine ndeeefu sana......muulize mwanajeshi yeyote kule Arusha na kwingineko watakuelezeni Task Force zilizoundwa kupambana na Majangili/Majambazi ya Kisomali ambayo hata mimi nina first hand experience nayo kwani niliponea chupu chupu kunitoa roho.......nilipata experience mbaya sana na majambazi ya kisomali.....thanks God I had my Gun and was able to defend myself and escape.........nina alama mwilini (ambazo zimekuwa my life marks) ambazo kila wakati nikiziangalia zinanikumbusha mikiki mikiki ya kupambana na majambazi ya kisomali......na wahamiaji haramu........halafu watu mnazungumzia eti "Haki za Binadamu".......hivi katikati ya pori between Muleba na Biharamulo wananchi wasio na hatia wanauawa, kutekwa na kuteswa na kuwa rapped mnawafikiria vipi....mnajua familia ngapi zimeathirika kwa ndugu zao kuuawa na kuwa rapped?
......hii inanipa picha ya kuwa ndugu wengi wanaochangia mada kama hizi.......haelewi hali halisi......
Kwenye operesheni kama hizi.......kasoro lazima zitakuwepo.....na kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu na ziundwe tume maalumu hata za UN kuja kuchunguza madai hayo......na mtashangazwa na ripoti zitakazotoka.......
Mkuu Fundi Mchundo timbwili hili lilipoanza nimesimama katika point yako muhimu ya sheria.Nimesema alichokifanya JK ni sahihi lakini nimemlaumu kwa kutochukua sheria.Nzuri tu, Mkuu. Slightly disappointed na hali ya jamvi niliyoikuta.
Pamoja na wewe kudai kuwa si mbaguzi, maneno yako yanakusuta. Kuishi na watu wengi hakukuondolei hiyo sumu ya kibaguzi kama unayo. Hata wakina Rush Limbaugh wakibanwa wanasema wana marafiki wengi weusi.
Unataka kujua ni sheria gani ya kimataifa imevunjwa na hili zoezi? Ni ile inayosema kuwa mtuhumiwa yeyote atapewa nafasi ya kujitetea dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake mbele ya chombo chenye dhamana ya kutenda haki. Chombo hiki ni mahakama na si Afisa Uhamiaji, polisi au mtendaji wa kijiji. Ukiondoa banana republic (ambako mnataka kutupeleka) , wale ambao wanashukiwa kuishi nchini nje ya utaratibu wanapelekwa Mahakamani ambako wanapata nafasi ya kujitetea. Ni Mahakama ndio inayowatamka kuwa Wahamiaji haramu na si vigilantes waliojaa wivu. Mbona Jenerali Ulimwengu aliposhukiwa kuwa ni mhamiaji haramu hakuswagwa kwenye lori na kupewa siku 14 awe nje ya nchi? Au haki na taratibu zinafuatwa kwa wale wenye uwezo tu?
Unatuambia kuwa ushahidi uliowazi ni kuwa majambazi wengi huko mipakani ni wanyarwanda. Ushahidi huo ni matamshi ya wenyeji wa huko ambao bila shaka watakuwa wepesi kuwahukumu wageni kuliko ndugu zao. Mara ngapi humu ndani tumekazania kuwahukumu wahindi na kusahau ushiriki mkubwa wa wazawa wenzetu? Rafiki yangu, Ogah nae ni kama wewe. Amejaa xenophobia na racism. Huyu rafiki yangu anatusimulia jinsi alivyopambana na wasomali wahamiaji haramu bila kutueleza alipata wapi muda wakati wakirushiana risasi wa kuuliza pasi zao, vitambulisho vyao n.k. Kwake yeye msomali yeyote ni mhamiaji haramu, conveniently akiwasahau wakina Rage ambao wako humu kwa miongo mingi na ni watanzania kama yeye!
Kuna mmarekani maarufu mmoja kwa jina alikuwa akiitwa William Bennet ambae alisema kama watoto wote weusi wakiwa aborted nchini mwake, uhalifu utashuka sana. Na sisi tumefikia hapo, kwa kuamini kuwa wanyarwanda wote wakitimuliwa basi nchi yetu itageuka paradiso tukisahau kuwa bado tutaendelea kuua maalbino, kuwapiga nondo bibi vizee, kuwasachi majeruhi wa ajali, kubeba unga, kuvamia mabenki n.k. Kama kuna muovu mnyarwandwa akamatwe, apelekwe mahakamani na akipatikana na hatia ahukumiwe kama binadamu mwingine. Hii kuhukumu jamii nzima kutokana na maneno na imani ya baadhi yetu kutatutokea puani. Baada ya wanyarwanda tutawageukia wachaga n.k. ambao wote tunajua ni majambazi sugu. Msitupeleke huko Amandla......
Nguruvi3, MkamaP, FM et al nipenda mjadara wenu hapo juu. nawapongeza. Ni sehemu moja tu ninapohoji kuwa 'wanyarwanda ndo majambazi' kama anvyosema Nguruvi3...hii ni nikuchukulia wahamiaji hawa ktk ujumla usiosahihi.
mnachopaswa kujua nikuwa wahamiaji hawa wako hasa ktk mikoa ya kigoma, Kagera na kwa sehemu Mwanza/geita makundi yafuatayo: 1) Wahamihaji wa kitutsi waliotokana na ukimbizi miaka ya 52, 60, 72 (wakiwemo waliovuka kwa sababu za kiuchumi na kijamii mbali na ukimbizi)
Kundi jingine ni lile la 1994 mpaka hivi jaribuni kwa sababu za kivta lakini pia wakiwemo wa chache kwa sababu za kiuchumi ba kijamii pia. Makundi hay yote ni nchanganyiko wa makabila ya kiutu na kitusi kutoka nchi za Rwanda na Burundi.
Ktk harakti za kurudisha wakimbizi hasa wa miaka ya 90 wachache wao walipenya na kuishi kama watanzania. Wale wa 1960s '72 wengi wao walipewa 'uraia' bahadhi yao wakarudi kwao hata kama walikuwa wamepewa 'uraia'.
Miaka yote iyo serikali haikuonekana kuchukua hatua mathubuti kumaliza matatizo hayo. Nakama ilifanya ilikuwa ni kiwango kidogo na dhaifu kwa jugubikwa rushwa na upendeleo.
Hali ya usalama iliendelea kuwa mbaya pale Tanz ilipooneka kusupport uasi wa chi jirani ya Burundi....silaha zilizagaa, na mara nyingi maeneo ya kigoma...manyovu..ngara...wizi wa silaha nzito nzito ulianza. Ushahidi wa tnz kusupport waasi wakitokea makambi ya kigoma na ngara uliendelea kubadilisha hali ya usalama kuwa mgumu hata kwa vyombo vya usalama.
Kundoa wahamihaji haramu halipingiki na muhimu lakini cha kuangalia ni kama wengi walivyo changia....ubinadamu, sheria na ...
Wengi hapa wametumia chuki zao binafsi na uzalendo bandia kutukana, uchochezi na ubaguzi unaoweza kupanda mbengu mbaya sana ktk taifa ili. Historia ya kongo kuhusishwa na tnzn dhidi ni upuuzi kutokujua historia ya maziws makuu.
Ndio mkuu,
Mchngo wako ni mzuri sana na ndio maana tunachangia kupeana maelezo sitahiki. Kama ulivyosema, na wengine walivyochangia ni kuwa wale wa mwaka 60 walipewa uraia na Nyerere, na hivyo kumbe unaweza chora mstari kwamba hawa waliopo wengi ni wa juzi juzi ila wanatumia mwka 60 kama pretext.
Hata hivyo, mie ninachouunga mkono ni utawala wa sheria na hicho ndo wengi tungependa serikali kuongozwa kwa utawala w sheria. Sheria ya Tanzania imetaja mhamiaji haramu kwa definition yake, na anayeona kaonewa basi afuate sheria hiyo hiyo, ili arudi kwao na alipwe fidia kwa kusababishiwa usumbufu.
Mkuu,
Nimejizuia sana ktk mijadara hii kuihusisha na siasa na ndivyo inavyopaswa lakini sivyo. Ni ktk mijadara hii mambo yanalekebishwa. Mwelekeo wa sasa ktk vyombo vya habari unaanza kuwa mzuri.....mfn wakongo 2, waganda 4, wakenya 10.....mikoa ya kati na dar. Kama serkali imelitambua hilo fine....Tnz itakuwa ya watzn na malihasiri za watzn.
Mwanzo mwa tamko hilo na mwendelezo wa matamko...na yaliyoendelea huko Kagera yameonesha ubaya wa iana zote...' hayo makaratasi ya uraia wa Nyerere ' wazalendo' wamechana, wamechukua mpaka pesa itoke....na kwakuwa wengine ni wafugaji ngombe wamechukuliwa.....wanefia ofisi za polisi....
Ilo siyo tatizo kwa 'wazalendo'. Tatizo ni kundoa 'hema empire'