Tanzania's Unusual Immigration Case

Tanzania's Unusual Immigration Case

Kila mtu huwa anavuma alichopanda. The problem is how they behaved here in tanzania. they did not behave like a Tanzanian, they did not love Tanzanian and mistreated them, they harbor and marry fellow Tutsi only and above all they have no respect to our leaders
kweli kabisa
 
waende kwao, wakawafunze wenzao maisha ya kijamaa na si ubaguzi kama walivyozoea, JK atoe tamko na kwa wahindi wanaoishi bila vibari maana kariakoo yote ni wahindi saivi
 
Kule Goma DRC walianza hivyohivyo kwamba wamekwenda kutafuta malisho tu ya n'gombe. Sasa hivi wanasema ni kwao sababu wamekaa sana!. Sheria gani duniani inasema unaweza kywa raia wa sehemu kwa kukaa muda mrefu tu sehemu husika? Na uliingia sehemu hiyo baada ya uhuru?. Ni lazima uukane uraia wa wazazi wako kisha uombe upya uraia qa nchi husika. Hakuna njia ya mkato. Bila hivyo siku zote utaitwa illigal immigrant.

Hilo always Ndio excuse Yao ....na Daima huchukua amri toka Kigali
 
Mutakyamirwa;7288811]Nguruvi3, MkamaP, FM et al nimependa mjadara wenu hapo juu. Nawapongeza. Ni sehemu moja tu ninapohoji kuwa 'wanyarwanda ndo majambazi' kama anavyosema Nguruvi3...hii ni nikuchukulia wahamiaji hawa ktk ujumla usiosahihi.

mnachopaswa kujua nikuwa wahamiaji hawa wako hasa ktk mikoa ya kigoma, Kagera na kwa sehemu Mwanza/geita makundi yafuatayo: 1) Wahamihaji wa kitutsi waliotokana na ukimbizi miaka ya 52, 60, 72 (wakiwemo waliovuka kwa sababu za kiuchumi na kijamii mbali na ukimbizi)Kundi jingine ni lile la 1994 mpaka hivi jaribuni kwa sababu za kivta lakini pia wakiwemo wa chache kwa sababu za kiuchumi ba kijamii pia. Makundi hay yote ni nchanganyiko wa makabila ya kiutu na kitusi kutoka nchi za Rwanda na Burundi.

Ktk harakti za kurudisha wakimbizi hasa wa miaka ya 90 wachache wao walipenya na kuishi kama watanzania. Wale wa 1960s '72 wengi wao walipewa 'uraia' bahadhi yao wakarudi kwao hata kama walikuwa wamepewa 'uraia'.

Miaka yote iyo serikali haikuonekana kuchukua hatua mathubuti kumaliza matatizo hayo. Nakama ilifanya ilikuwa ni kiwango kidogo na dhaifu kwa jugubikwa rushwa na upendeleo.

Hali ya usalama iliendelea kuwa mbaya pale Tanz ilipooneka kusupport uasi wa nchi jirani ya Burundi....silaha zilizagaa, na mara nyingi maeneo ya kigoma...manyovu..ngara...wizi wa silaha nzito nzito ulianza. Ushahidi wa tnz kusupport waasi wakitokea makambi ya kigoma na ngara uliendelea kubadilisha hali ya usalama kuwa mgumu hata kwa vyombo vya usalama.

Kundoa wahamihaji haramu halipingiki na muhimu lakini cha kuangalia ni kama wengi walivyo changia....ubinadamu, sheria na ...
Mkuu,

Nimejizuia sana ktk mijadara hii kuihusisha na siasa na ndivyo inavyopaswa lakini sivyo. Ni ktk mijadara hii mambo yanalekebishwa. Mwelekeo wa sasa ktk vyombo vya habari unaanza kuwa mzuri.....mfn wakongo 2, waganda 4, wakenya 10.....mikoa ya kati na dar. Kama serkali imelitambua hilo fine....Tnz itakuwa ya watzn na malihasiri za watzn.

Mwanzo mwa tamko hilo na mwendelezo wa matamko...na yaliyoendelea huko Kagera yameonesha ubaya wa iana zote...' hayo makaratasi ya uraia wa Nyerere ' wazalendo' wamechana, wamechukua mpaka pesa itoke....na kwakuwa wengine ni wafugaji ngombe wamechukuliwa.....wanefia ofisi za polisi....

Ilo siyo tatizo kwa 'wazalendo'. Tatizo ni kundoa 'hema empire'
Mtakyamirwa,ningepnda kuzirejea hoja zako bila mpangilio ili kuleta mantiki ya kile nilichokusudia.

1. Nianzie na Hema empire: Rais JK alitangaza wahamiaji haramu wasalimishe silaha na wale wasio na vibali waondoke. Hakusema wananchi wa Rwanda. Wanyarwanda wakachukua ajenda na kusema JK amewafukuza, wakasema kawafukuza Watutsi. Kampeni zinaendelea katika vyombo vya habari Rwanda ili kuishinikiza Tanzania iogope kuonekana ina chuki na kabila fulani. Kwa mantiki Watanzania wanasema kama issue imekuwa Watutsi ile dhana ya Hima empire ni kweli vinginevyo ingelikuwa Wanyarwanda, wakongo, Waganda n.k.

Wewe umethibitisha waliopewa uraia walikuwa Wahutu na Watutsi, iweje Watutsi washinikize kwa kutumia vyombo vya habari na hapa JF wapo pia. Hizi kampeni ni za kipuuzi kijinga na kitoto na zinaonyesha jinsi gani watutsi walivyo hatari. Dhana ya Hima empire haiepukiki kama utaacha Unyarwanda na kuingiza Ututsi.
Hili ni kosa kubwa na wasilaumiwe wenye dhana bali wanaoingiza dhana hiyo ambao ni watutsi wenyewe

2. Si kweli kuwa Tanzania iliunga mkono waasi wa Burundi. Tanzania ndio nchi ilitoa mali na hali kuleta amani iliyopo Burundi hata kurudisha waasi kwa makubaliano na serikali. Habyarimana na mwenzake walikufa wakitokea Dar es Slaam.

Genocide iliathiri Rwanda zaidi. Tulipokea wakimbizi zaidi ya milioni 2 ikiwa ni sawa na raia mmoja katika 5 wa nchi hiyo. Huu ni ukarimu usioelezeka inashangaza kampeni za za kuichafua Tanzania na kusahau wema.

Wanyarwanda ndio waliingiza silaha kwasababu mauaji ya kimbari hayakuwa na control. Huu ni ukweli na ndio chanzo cha tatizo sugu la ujambazi Kagera n.k.Hebu jiulize kwanini mkimbizi amiliki short gun na mavazi ya JWTZ

3. Tanzania ilitoa uraia kwa watu 160,000. Hakuna hata mmoja aliyerudishwa kati yao ambao Wanyarwanda ni zaidi ya nusu, zoezi hili si la kukurupuka lilifanyiwa utafiti. Kitendo cha kumtumia Nyerere kuhalalisha uraia ni cha kipuuzi.

Ni nadra kumukuta Mtanzania mwenye cheti cha kuzaliwa kati ya 60 na 70 mwishoni. Inashangaza Wanyarwanda wamepata wapi. Hizi nazo ni kampeni za kipuuzi zinazopaswa kupuuzwa na mtu mwenye akili tena timamu.

4. Sheria za uhamiaji zinakipengele cha deportaion. Ni wajibu wa mlalamikaji kuomba asikilizwe na si kazi ya serikali kusikiliza kesi za watu 20,000 ambao wengi wao ni wahalifu achilia mbali uhamiaji haramu.

Kitendo cha Tanzania kuwataka warudi kwao ni cha kiungwana na kibinadamu. Tunaona ngòmbe wanarudi kwa makundi tena wakiwa na police escort. Vinginevyo walipaswa kushatakiwa kufungwa na deportation wakiwa na mavazi ya jela.

5. Tanzania imeonyesha ubinadamu kwa kuwahifadhi wakimbizi. Hao waliokimbia makambi na kuingia mitaani kuzalisha wanawake eti ndio njia ya Urai ni wajinga na wanapaswa kulipa gharama za ujinga wao.

Uraia haupatikani kwa mimba unapatikana kwa kuomba. Mtu anaishije kwa miaka 30 akiwa hana cheti na wale wenye vyeti ni feki. Tanzania isialumiwe kwa watu kuvunja sheria za nchi kwa kukimbia makambi kwanza, na pili kuishi bila vibali.

6.Ubinadamu unaoongelewa hapa ni upi. Wakimbizi wamehifadhiwa kiubinadamu, wakatoroka. Mitaani wameendeleza uvunjaji wa sheria kwa kuwa na magobori na short gun. Badala ya kushughulikiwa ukaazi wakajikita kutia wanawake mimba kwa kisigizio cha watoto wakinunua mashamba bila kufuata taratibu.
Huyu mtu asiyethamini ubinadamu anahitaji ubinadamu gani tena.

7. Ogah na MkamaP wameeleza vema kabisa.Kwanini Rwanda ipokee raia wasio wa nchi yao.
Je, tunaweza kuwapeleka wahamiaji haram Zambia na wakapokelewa.
Huu ni ushahidi kuwa Rwanda inajua kuwa wale ni raia wake. Kutokana na machafuko, uhaba wa ardhi wengi wamekimbia kwao ikiwa ni nafuu ya Rwanda.

Hakuna tatizo kama wataishi kwa uhalali, lakini habari ya kuwaacha tu waje wazaaene tena wakiwa wanajivunia ututsi na si Unyarwanda ni hatari sana. Tumejifunza kutoka Goma.

Mwisho,suala hili linaweza kushughulikiwa kibinadamu na kiujirani kama lile la wakimbizi 160,000.
Tatizo ni kampeni chafu za baadhi ya Wanyarwanda ima kwa kutoelewa au kwa utamaduni wao wa ghasia Kuichafua Tanzania.

Tanzania haijavunja sheria yoyote na kampeni za magazeti na blog za Rwanda ni za kupuuzwa
Pili, Wanyarwanda wajitambue kama Wanyarwanda, kitendo cha kudhani kujiita Watutsi kunaitisha Tanzania ni cha kijinga. Tanzania hatujui mtutsi ni nani isipokuwa kwa umaarufu wao unajulikana duniani.
Umuhimu wa Watutsi unaishia Rwanda, wakivuka mpaka na kuomba uraia ni raia wa Tanzania na si watutsi.

Muhimu sana ni kuacha kutoa porojo za Nyerere,kuporwa na vyeti feki ili kutafuta huruma ya kimataifa.
Tanzania kama nchi nyingine ina haki katika mambo ya uraia na haitishwi kwa tuhuma za magazeti kama Times ya Rwanda au wasemaji katika mablog. Badala ya kufanya mambo yaeleweke kinyume chake wanatia hasira

Tanzania inasimamia sheria zake za kuondoa wahamiaji haramu si Wanyarwanda au Watutsi. Lau kama zoezi hili limefanywa na wanyarwanda kama lina walenga tena watutsi basi dhana ya hima empire haitaepukika na ikifika hapo ni moto zaidi ya uliopo. Tunaona ya Goma, tuna akili na tunajitambua.
 
hizi story zenu zinauma lakini rudini kwenu
 
Walimu wa Uraia wanatakiwa kuongeza bidii waweke pia mkazo kwenye kipengele cha uzalendo. Tuna tatizo kubwa eneo hili.
 
Kwani mtu baba yake akipewa uraia basi na mwanae anakuwa raia bila kuukana ule uraia wa asili? Hawa ni watutsi ambao waliapa kuunda himaya yao ukanda wa east and central africa, kwa kujipenyeza ki aina katika kila idara na sekta mbali mbali ili kupata "nchi ya ahadi" hawana lolote!
 
Unasahau kwamba hii mipaka tuliwekewa na Wazungu wakati wa mkutano mkuu wa Berlin? Hivi leo ukimkuta Mwita aliyeko Musoma utasema aende kwao ni Kenya kwakuwa tu anaitwa Mwita? Kwanza nakubalina kuwa wahamiaji haramu NO, lakini hili suala la Ku- generalize kwa majina au pua ndefu, nakwambia si kigezo sahihi. Tukimaliza hao tutarudi hapa kwetu kuna wahindi na Waarabu tena ambao wakati wa ukoloni koo zao zilikuwa madaraja ya juu, mbona leo ni WaTz? JK alipotoa tamko hilo alikuwa sahihi, lakini nakwambia hivi kwa baadhi ya askari wetu huu utakuwa ni mradi tu wa kukusanya fedha na kupora

WAliowengi wa hao Waarabu na Wahindi wa enzi hizo unazozisema waliisha jitambulisha na kufuata taratibu zote za kua rai wa Tanzania, Watsi kwa taarifa yako (labda hujawahi kua nao karibu) hawataki hata siku 1 kuomba uraia wa nchi nyingine (wale waliomba, si tunaishi nao hadi leo?) Hawa watu ni jeuri kuliko unavyodhani, O.K Wahamiaji waliofukuzwa wako wa nchi tofauti, kwanini kelele nyingi zitoke Rwanda tu? Kumbuka ile issue ya yule mjeshi aliyetoroka, kumbuka yule Waziri wa technology wa Rwanda, ambaye alikua mwalimu UDSM, na tulidhani ni Mbongo mwenzetu, leo yuko wapi? Fumbua macho uone, let them go!
 
Hawa jamaa wameachiwa waende na ngombe zao bado wanalalamika kumbe hata hizo ng'ombe tungezizuia zibaki huku huku.
 
Why do they whip the immigrants? Tanzanian police ar just so full of themselves!

King'asti..Hii habari ingekuwa imeripotiwa na Chombo kingine cha habari kidogo ningetilia uzito lakini si hili gazeti la New Times Rwanda linaloandika habari za kuichafua Tanzania kila kukicha kisa tu watu wameambiwa waende kwao.

Hivi katika zoezi hili linaloendelea waliotimuliwa ni WanyaRwanda tu? ambao mpaka sasa idadi yao ni karibia 7000 kulinganisha na WaBurundi ambao ni 21,000 (Yes, twenty one thousand) mbona wao hatuwasikii serikali zao zikipiga jaramba ulimwengu mzima? Na bado changanya kuna Wakongoman, Wazambia na Waganda kufikia jumla ya wakazi haramu 31,000 waliokwi shatimuliwa.

Wanyarwanda ni mahodari wakung'ang'ania nchi za watu na ubaya ni kwamba hawajui pia kuishi na watu kwa wema maana leo wanakaribishwa kwa wema kesho wanataka kumfanya mwenyeji mgeni! Tazameni ya vita ya huko Goma DRC inasababishwa na nani? Tazameni ndani ya EAC hiyo Tanzania inaanzwa kufanyiwa kampeni chafu na sasa inaazwa kufanywa mgeni na nani?

Na wende zao makwao huko watuache 'wenyeji tupumue' na hii nchi yetu sasa. Nchi yetu wanayoita ya ajabu kutwa kucha ni ni kuisema na huku bado mwataka kuing'ang'ania eboh!. Kwani huko kwao si yasemekana mambo mazuri eti maziwa na asali kwa wingi🙂, ati lami za kumwaga na wala hakuna vibaka sasa wanang'ang'ania nini huku? Si wazungu walisha sema there is no place like home🙂 sasa wana hofu gani? These people are full of air (read themselves🙂
 
Tunaambiwa kua Rwanda imepiga hatua kuliko Tanzania lakini kwa nini wanyarwanda hawataki kuishi Rwanda wanataka kuishi Tanzania? Nendeni mkafaidi matunda ya kazi za Kagame, kwa nini hamtaki kwenda kwenu? Tanzania tumechoka kuishi na mtu ambae kiwiliwili kipo bongo halafu roho ipo Kigali, tumechoka kuishi na watu ambao unawasomesha halafu wanakukimbia.,tumechoka kuishi na watu ambao unawasaidia halafu wanakupaka kinyesi.
 
We are tired and sick of 'cooked' stories of New Times Rwanda. How can such every day touching stories come from ONLY ONE source? Shut-up! ....and don't confuse yourself, birth certificate is not citizenship certificate. It just tell us where you were born BUT not where you belong, until you deny the country of your fathers.

Rwanda is beautiful, go with joy. You are lucky, Tz give you transport despite being illegal.
 
Hii ni hadithi nyingine tu kama zile zilizopita na sidhani kama ni ya mwisho, zitakuja nyingi tu zingine. Unajua mtu kama huwezi kula na kipofu lazima utaharibu tu, operation hii mbona haiwahusu warwanda tu, takwimu zimeshatolewa wapo watu wa mataifa mengine pia. Waende kwao maana wakikaribishwa hawachelewi kujisahau na kujifanya ndio waliwakaribisha wenyeji waliowakuta.
 
Iz not fair wahindi na makaburu wamejaa geita,dar,kahama,nzega bila vbali sasa hawa jamaa adi babu zao walizaliwa tanzania na wazazi walikuwa na vbali wao wakapata bith certfcate leo tunawahamisha kwa kuwaangalia pua geita adi mabasi yanakaguliwa toka lini mwanakijiji akatembea na permit ya ukaazi kwenye daladala hawa wanasiasa wasiteketeze familia jaman tumuogope mungu wakenya wangapi wapo arusha, wamalawi wangap wamelowea mbeya 100years ago nani asiyejua wamasai wanaish tz na kenya, wahaya asili yao ni uganda na rwanda hii operation ni nzuri ila dhamira yake imebatilishwa huwez kufanya operation kama hii kwa kutumia mgambo...nani aliyekilaani hiki kizazi cha nyoka cha karne ya 21 unamfukuza mwafrka mwezako unamfuga mhindi na kaburu mwizi wanaonyonya watanzania na kunyanyasa mabint wetu makosa ya kagame yasiwaumize watanzania wenzetu kwa kigezo cha kuangalia pua zao
 
Back
Top Bottom