Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Wacha tu arudi tafadhari atakae kua na contact zake ani pm yule mtoto kwenye upande wa kulana mate amenivutia hahahahahaaaaaa.....lol..
 
walibishana na mabishano yakapelekea hasira na kufikiaLotus kumpiga kibao Luclay(msauzi)

wakati Lotus ameondelewa, Luclay kapewa adhabu ya kuosha viombo vya washiriki wingine.

Ugomvi wao ulianza katika kubishana juu ya sarafu inayotumika Afrika kusini ya Rand na Luclay akawa anaisifia kuwa na nguvu sana. Lotus akasema South Africa Isn't the part of Africa, hapo ndipo ugomvi ukaanza maana Luclay akaja juu akiona kama alichosema Lotus ni ubaguzi kwake. Wakarushiana maneno makali hapo mwisho Lotus akatoka na kwenda kukaa pembezoni peke yake. Luclay akaendelea kumwaga mineno mikali kwa Lotus huku yeye akiwa mbali na kuona hivyo lotus akakasirika zaidi na akaja akamnasa vibao Luclay.

Kisha washiriki wengine wakaja kuwaamulia. Kwa mujibu wa sheria za mjengoni ni kwamba ukipigana basi hiyo ni teketi yako ya kwenda Home, so BIG akamwambia Lotus afungashe virago yake na Luclay akapewa adhabu ya kuosha vyombo hadi siku atakapotolewa ndani ya jengo. Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Lakini Kutolewa kwake kunatueleza nini?
1; Mungu kamlipizia maana yeye ndio aliyempigia kura mtanzania mwenzake Bhoke ili atoke, sasa katangulia yeye
2; Sasa Bhoke anabaki akimmiliki Ernest ambaye siku zote walikuwa wakichangia na Lotus
3; BIG anaona kupigana ni kosa kubwa sana na sio uhalisia wa maisha ya binadamu sababu wakiwa makwao hawapigani, na badala yake NGONO ni ndio uhalisia wa maisha ya mwanadamu na wala sio kosa kufanya hadharani
4: Mtanzania wewe sasa umebaki na kazi rahisi, ama kumuondoa na huyo aliyesalia BHOKE ama kuendelea kumtunza aendelee kuwakilisha utanzania wake kama sio kutuwakilisha watanzania wote na tabia zetu.
 
hivi lotus ndiyo yule aliyefanana na shabba ranks?

Grace Jones.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

grace-jones.jpg
 
Sure, utakuta mibaba na mi mama imekaa na watoto wao kuangalia ujinga

Kama hupendi kitu tafadhali usiite ujinga, yaani maana yake mamilioni ya watu wanaongalia ni wajinga?, unaweza kuta hata baba yako anaangalia.

Wewe acha kuangalia lakini kamwe usijudge wale wanaoangalia.

Kitu unachoita wewe dhambi kwa mtazamo wako sio lazima kiwe dhambi au ujinga kwa mwingine.

Ile ni game na mimi sioni tatizo la Lotus kutaka Bhoke atoke abaki peke yake, adui muombee njaa, BTW mshindi ni mmoja.

Nilimpenda Lotus lakini Big Brother kampenda zaidi, RIP Lotus.
 
hii bb bado ipo? Angalieni tu mnaoona inafaa. Siku za nyuma nilikua naiona kwenye baa moja. Nilikua sikosi shower hour. Baadae nikajirudi, sikuangalia tena. Lakini siwashangai au kuwalaumu wanaoangalia
 
hii bb bado ipo? Angalieni tu mnaoona inafaa. Siku za nyuma nilikua naiona kwenye baa moja. Nilikua sikosi shower hour. Baadae nikajirudi, sikuangalia tena. Lakini siwashangai au kuwalaumu wanaoangalia

umeokoka?lol
 
Lotus Alimnominate bokhe aondoke ili abaki yeye pekee. Kumbe alkuwa ajichimbia kaburi lake mwenyewe.Mungu yupo welcome home girl. From big aunt
 
Hakuna jambo ninaloona kuwa ni upumbavu, upuuzi, ushenzi na la kijinga kama hayo mashindano ya BB! Waafrika tunachezewa kama midoli na sisi tunakubali, upumbqvu gani huu jamani! Najisikia hata kichefuchefu, ptuuuu!!
 
Jamani hivi huyu Lotus katokea wapi?itakua Nyamongo nini!manake hataki usharobaro!mwenyewe huwa siangaliagi huo upuuzi,ila jana nilichungulia tu ndio nkakuta hiyo msg.Karibu kitaa kula chips vumbi.
 
Mwache arudi kwanza mbinafsi,alimtaja mwenzie atake kwenye mjengo kisa watanzania wanampenda yy,kwann mwaka huu wamepulelekea machangu?
 
Hakuna jambo ninaloona kuwa ni upumbavu, upuuzi, ushenzi na la kijinga kama hayo mashindano ya BB! Waafrika tunachezewa kama midoli na sisi tunakubali, upumbqvu gani huu jamani! Najisikia hata kichefuchefu, ptuuuu!!
Sawa mkuu lakini mtanzani huyu aliyetolewa kwanza anaonekana kama CHANGUNDO ,TEJA ANAPOLEWA,KUVAA AJUI,KATOBOA PUA KAMA WASAGAJI,MCHAFU,SIKU YA KWANZA KUMUONA NDANI YA JUMBA HILO NILIKATAA KAMA NI MTANZANI KWELI NI MKONGO ANAYEISHI TANZANIA,somo kwa wanaochangua kutuwakilisha.HATA ALIYEBAKI ILIONYESHA KUFANYA NGONO KWENYE POOL AKIWA KALEWA AJITAMBUI.
 
Back
Top Bottom