Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
We ni mtu usiejitambua tuu! Airport ina thamani sawa na Bandari?Tumelishwa propaganda za Uzalendo
Huu mradi ni mzuri na una manufaa sana.
Sisi hatuingizi senti hata moja kwenye mradi bali hii ni investment ya moja kwa moja yaani tunaleta pesa nchini!, Siyo mkopo huu
Tunashindwa kuona the big picture, Trickle down benefits za mradi, ajira, kodi, kuongeza volume ya mzigo kwa ajili ya reli zetu ambapo kuna fee wasafishaji watatozwa, kuifanya TZ kuwa hub ya mzigo wa china kuingia ndani ya africa, yaani badala ya wafanyabiashara wa Africa kwenda China mzigo wataukuta hapo bagamoyo!, INA MAANA YOTE HAYA HATUYAONI TUMENG'ANG'ANIA BANDARI TU?
Hili dili likiporonyoka, Tutakuwa tumejibania sisi wenyewe, na gharama ya kuijenga hiyo bandari miaka 50 ijayo tutlipa gharama mara tano zaidi ya leo
Tunaacha kujenga bandari tunajenga airport Chato, kweli sisi wa ajabu sana