Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

Wajinga Sana wachina Bora tuwe kama Zimbabwe. Ila Sisi tuna matatizo na mchina Sio mzungu au Muamerika . Kwasasa Mchina Hana uwezo wa kutuharibia uchumi labda angekuwa bwana Trump. Trump hatuna shida nae
Unavyotoka povu utafikiri a tuna system zinazoeleweka Mtazidi kuonewa mpaka na mchina kwa sababu mnapokaa madarakani hamjegi institution mnajega mtu akiondoka na mwingine anakuja na yajke huwa nashangaa
 
Tumelishwa propaganda za Uzalendo

Huu mradi ni mzuri na una manufaa sana.

Sisi hatuingizi senti hata moja kwenye mradi bali hii ni investment ya moja kwa moja yaani tunaleta pesa nchini!, Siyo mkopo huu
Tunashindwa kuona the big picture, Trickle down benefits za mradi, ajira, kodi, kuongeza volume ya mzigo kwa ajili ya reli zetu ambapo kuna fee wasafishaji watatozwa, kuifanya TZ kuwa hub ya mzigo wa china kuingia ndani ya africa, yaani badala ya wafanyabiashara wa Africa kwenda China mzigo wataukuta hapo bagamoyo!, INA MAANA YOTE HAYA HATUYAONI TUMENG'ANG'ANIA BANDARI TU?

Hili dili likiporonyoka, Tutakuwa tumejibania sisi wenyewe, na gharama ya kuijenga hiyo bandari miaka 50 ijayo tutlipa gharama mara tano zaidi ya leo

Tunaacha kujenga bandari tunajenga airport Chato, kweli sisi wa ajabu sana
Aliyemshauri magufuli aikatae Bandari ya Bagamoyo ni Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu baada ya kupewa Rushwa na Bandari ya Mombasa, Msumbiji na Darban ya South Africa ambao hawaitaki kuisikia Bandari ya Bagamoyo kwa hofu ya kuwamaliza kibiashara, na kitu kingine kilichochangia kusitisha huo mradi chanya ni Bashite na magufuli kwenda kuomba mkopo ulaya na Marekani kwa ajili ya kujenga chato Airport na reli wakawapa mashariti kuwa kama wanataka pesa lazima wazuie waukatae mradi wa Bandari ya Bagamoyo na watengeneze propanganda nyingi dhidi ya china ili watanzania ambao badhi hawajielewi wataamini wachina ni wabaya kisha wao watimeze lengo lao.
 
Back
Top Bottom