UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,446
- 5,419
Sio rahisi hivyo ,zamani nilipokuwa sio kiongozi nilifikiri the same way lakini sio tunavyofikiria ndio maana kusaini mkataba hata uwe wa ndoa jihoji mara mbili niko tayari?nimeelewa?what will be consequence nikiuvunja !nitakuwa tayari kuhandle so just simple example.Kwa mikataba ya nchi ,inatu affect kila kitu kiuchumi ikiwa watatushitaki na wakashinda ,we have to pay tusipolipa wanashika naything iliyo nje ya nchi ,kingine unakuwa listed kuwa ni nchi yenye matatizo ya kiuwekezaji na wanaweza kuku block hata business usifanye ,restrictions kwenye kusafiri nk.I have been in Zimbabwe ,kwa sasa hata currency yao hawawezi kutumia wanatumia kitu kinaitwa "bond" na currencies za nchi nyingine kama US dollar ,SA Rand nk.Eenh Hee, hilo li-Mkataba si nachana tu hilo likaratasi? Nenda kashitaki unakopenda, utajenga hiyo biashara yako utaipitisha wapi hadi ifike au itoke bandarini kwako?