Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,134
- 128,774
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kwenye ukumbi wa mikutano ya waandishi wa habari Bungeni, ambapo CAG, Ludovick Uttouh, anazungumza na waandishi wa habari, kuhusu ripoti yake.
Kubwa kuliko ni serikali, imelifungua lile fuko kuu la hazina lililoko Benki Kuu ya Tanzania, na kujitotea kutoka fuko hilo, Shilingi, Bilioni 5.8 bila idhini ya Bunge!.
Kwa lugha rahisi, ni serikali imejichotea fungu hilo na kujitafunia, yenyewe bila kuomba kibali cha wenye fedha zao!.
Kuchukua kitu bila ruhusa ni wizi, regardless umefanyia nini hicho ulichochukua, hivyo serikali yetu imeiba Shilingi Bilioni 5.8 zetu!.
Wakuu wa zile oversight commitee za PAC-Cheyo, LAAC-Mrema na POAC-Zitto wapo hapa kutueleza serikali yetu iliyafanyia nini mabilioni hayo?.
Pascal.

Attachments
-
Ripoti ya jumla ya serikali kuu.pdf1.7 MB · Views: 739
-
Ripoti ya serikali za mitaa.pdf2.9 MB · Views: 795
-
Ripoti ya ufanisi na wa kiuchunguzi kipindi cha kuishia 31 machi 2012.pdf872.1 KB · Views: 505
-
Donor Funded Projects-General Audit Report.pdf3.9 MB · Views: 683
-
cover-page.jpg50.5 KB · Views: 1,944