King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,435
- 88,788
Ebwana inakuwaje? Saa nane tayari vp huko mshaanza kuona giza au chenga wanasayansi wametulisha kasa?
hivi unaweza kuona kupatwa kwa mwezi(lunr eclipse) ukiwa kwenye dunia?
Exciting...ulifurah sana..nataman na mie nione
Ilikuwa ni experience nzuri shemkwe....
Mmmh kwa hii itayotokea leo ukiwa Tanzania hutaweza kuona kama nilivyoona, kwa East Africa wataoweza kuona hivyo ni some parts za Uganda na Kenya...
Huko ndio watapata 'Total Solar Eclipse' bali sisi tutapata ile 'Partial Solar Eclipse' tu
Sayansi ni kweli ngumu na Wana-Sayansi wanabahatisha mambo mengine hawasemi ukweli Mwezi ndio utakao kamatwa na jua sio jua kukamatwa na mwezi ( Lunar eclipse) Siku Jua likikamatwa na mwezi ndio itakuwa siku ya Kiama siku ya ufufuo au siku ya hukumu kwa imani za dini.
ivi Tanzania ipi inaongelewa hapa ya bara au visiwani
Nash2010, kupatwa kwa jua kumeanza dkk 20 zilizopita. Hivi tunashuhudia,
heheee! Aisee mbona hatuoni "solar eclipse"?