Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,664
- 59,735
Manyara Region
Wewe una kichaa cha mbwa mwitu asiyejua kuua kabla ya kula anafika na kuanza kula kabla hajaua. Tembea ujionee ndo uje umwage upupu humu. Kuna nchi zilipata uhuru wakati mmoja na TZ lakini sasa hivi utadhani zilipata uhuru miaka mia tano iliyopita sisi tumekalia ndiyooooo. Kaeni na ndiyo zenu mtajiju. Heri yao wanaochapana na kuuana kila kukicha lakini wanajiletea maendeleo kuliko sisi tunaosema kiswa cha salama wakati tunachinja watoto, albino na wazee tukisingizia amani.Eti HATA TUJENGE VIPI???
Umepost pics gani humu mpaka uanze kukatisha wa Tz wenzako Tamaa. Traitor of the Nation!!!
Kaa kimya wanajeshi wapambane.
Hapo Nairobi ndipo Ulitembea kupatA exposure sio??🤣🤣🤣Wewe una kichaa cha mbwa mwitu asiyejua kuua kabla ya kula anafika na kuanza kula kabla hajaua. Tembea ujionee ndo uje umwage upupu humu. Kuna nchi zilipata uhuru wakati mmoja na TZ lakini sasa hivi utadhani zilipata uhuru miaka mia tano iliyopita sisi tumekalia ndiyooooo. Kaeni na ndiyo zenu mtajiju. Heri yao wanaochapana na kuuana kila kukicha lakini wanajiletea maendeleo kuliko sisi tunaosema kiswa cha salama wakati tunachinja watoto, albino na wazee tukisingizia amani.
Huyu jamaa ni wa kumhurumia tu. Jamaa lishamba kweli halijawahi hata kwenda sehemu. 🤣 🤣🤣Hapo Nairobi ndipo Ulitembea kupatA exposure sio??🤣🤣🤣
Hizo ulizoposti usidhani zinatutisha Kenya. Hiyo ni capital city yenu, linganisha na Kakamega - Kamji kadogo hapa Kenya.Jiwe nililitupa gizani naona kuna mtu anagugumia. 🤣🤣🤣
Hahaha!! umeenda kujificha na kuja na kamoja hako!? 🤣 🤣 🤣Hizo ulizoposti usidhani zinatutisha Kenya. Hiyo ni capital city yenu, linganisha na Kakamega - Kamji kadogo hapa Kenya.
View attachment 1099223
Karibu Vienna.Hapo Nairobi ndipo Ulitembea kupatA exposure sio??🤣🤣🤣
Kwani hujakua ukifuatilia thread wee malenge? Anzia mwanzo uone picha tulizoposti. Hivi vijibarabara viwili ulivyoposti ndivyo vinakutia kiwewe?Hahaha!! umeenda kujificha na kuja na kamoja hako!? 🤣 🤣 🤣
Leta barabara za nchi nzima. Mimi nimekuletea all corners of Tanzania.
Tukianzia Turkana. Sema kutoka wapi kwenda wapi.
Pwahahaha. Mzee mimi nipiga kazi siyo kama wewe jobless 24/7 upo JF, JamiiForums.com and Nairaland.Kwani hujakua ukifuatilia thread wee malenge? Anzia mwanzo uone picha tulizoposti. Hivi vijibarabara viwili ulivyoposti ndivyo vinakutia kiwewe?