Zinapita ng'ombe uko sio mbayaKijiji iko na overpass, mji za Tz zote ziko tu na moja.
Hii nayo ni quality?mnafurahisha sana
Ahero tusiihesabie Kisumu. Hiyo iko ushago. Tanzania outside Dar hamna kitu.There is another in Nyamasaria. In fact Kisumu alone has six flyovers; Nyamasaria, Kondele, Mamboleo, Aheto (still U/C) alafu na hiyo ya golf.
Ubungo is 725M Ipo U/C
I need you to mention the County.
ni mtanzania nilivofika kenya nikaona mambo ya tz ni uzwazwa haswa barabara naomba nikazie zaidi! povu ruksaHuu ni uzwazwa aheri ungejikalia kimya au we ni mkenya nn?
Acha kujichetua umejiunga juzi tu.ni mtanzania nilivofika kenya nikaona mambo ya tz ni uzwazwa haswa barabara naomba nikazie zaidi! povu ruksa