Tanzanians abroad send home Sh. 1 trillion yearly

Tanzanians abroad send home Sh. 1 trillion yearly

Dodoma:
Tanzanians living abroad sending home an average of $456.5 Million (about Sh. 1.03 trillion) annually.

A total of $ 2.283 billions (about 5.3 trillion) was remitted between 2013 to 2017, according to Ministry of foreign affairs and east African cooperation.

However the figure is lower than what other countries in East African each receive from their citizens abroad:

For instance; kenyan diaspora sent home a total of $1.95 billion in 2017 alone

Data published by bank of uganda shows that ugandan diaspora remitted a total of $1.2 billion in 2016, up from $ 1 billion in 2015

Mr. Ole Nasha...
told the parliament that the ministry had directed tanzanian embassies to keep registers of tanzanian living in various countries, their economic activities, skills and professional level to ensure that the government had accurate data on what and how they could contribute to the national economy

Tanzanians abroad send home Sh1 trillion yearly

How do they know the people who send the money are Tanzanian?
 
Hizo pesa ni ndogo sana ukilinganisha na ukweli wa pesa inayoenda TZ. Yaani hii ni pesa iliyotumwa kwa West union, banks na Mpesa lakini ukimtuma mtu pesa serikali haijui. Utamaduni ndiyo unaanza kwenda kwenye njia za kisasa ya App kama Sendwave na mtaona mapato yanaongezeka kwasababu watanzania wataanza kutumia njia za simu kutuma pesa. Mimi nilikuwa na Harusi miaka michache nilituma zaidi ya $6000 kwa mara ya kwanza kwa kutumia simu kwa miezi mitatu hivi. Tuachane kusemana sisi wote ni Watanzania hivyo tuangalie ushindani badala ya kuoneana wivu
kuna kitu kinaitwa werld Remit maamae. Unarusha hela hata kama huku unakata gogo. Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa
 
Kuna Wapemba wanafanya money laundry unampa pesa London ndugu zako wanakwenda kuchukua Kariakoo hizo serikali haitakaa izifahamu.
Uzuri wao hata £20 inamuekea inawahi kununulia mkaa wa lunch home.
Duh ....Sky hio wanayofanya Wapemba sio money laundering unless umeprove hela inayotumwa ni hela chafu. Nimewatumia sana hawa Wapemba enzi hizo ambapo option ya kutuma haraka ilikuwa WU na MG
 
mie natumiaga worldpermit,dakika tu mtu wako wa Nanjilinji anakua anapata hela uliyomtumia na ni affordable kutuma
ni remit au permit mkuu... maana tuna taka itafuta nasi tujiunge nayo...
 
mlioko ng'ambo tuna shukuru kwa mabox yenye faida... serikali imeyatambua... ila mkajisajiri kuonesha ujuzu mlio nao huko ng'ambo

hahahahahahahahahahahahahaaa....
Ukijisajili serikali ya Tanzania inawezekana ukawa umejisajili "watu wasiojulikana" wakufuatilie vizuri.
 
Hizo pesa ni ndogo sana ukilinganisha na ukweli wa pesa inayoenda TZ. Yaani hii ni pesa iliyotumwa kwa West union, banks na Mpesa lakini ukimtuma mtu pesa serikali haijui. Utamaduni ndiyo unaanza kwenda kwenye njia za kisasa ya App kama Sendwave na mtaona mapato yanaongezeka kwasababu watanzania wataanza kutumia njia za simu kutuma pesa. Mimi nilikuwa na Harusi miaka michache nilituma zaidi ya $6000 kwa mara ya kwanza kwa kutumia simu kwa miezi mitatu hivi. Tuachane kusemana sisi wote ni Watanzania hivyo tuangalie ushindani badala ya kuoneana wivu

Mimi nafikiri wanafanya makisio tu na wala hakuna mfumi rasmi wa kutambua ni kiasi gani kinaingia kutoka kwa watanzania walo nje.
 
Kuna Wapemba unampa pesa London ndugu zako wanakwenda kuchukua Kariakoo hizo serikali haitakaa izifahamu.
Uzuri wao hata £20 inamuekea inawahi kununulia mkaa wa lunch home.

Hiyo inafanywa sana khasa UK.

Nilipowahi kuishi pale, kuna sehemu moja niliwahi kuitumia yaitwa Slough yupo mpemba mmoja anafanya hiyo.

Nafikiri bado anafanya ila details zimepotea.
 
ngoja tuanze kuzitumia... hizo apps

World remit inakuwekea fedha kwenye Tigo pesa na wao wanakutoza kaushuru kidogo.

Hivyo mtu wa TZ anachungulia fwedha kwenye simu yake ya Tigo na anaona mpunga umetinga.!
 
kuna kitu kinaitwa werld Remit maamae. Unarusha hela hata kama huku unakata gogo. Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa

Mkulu, vipi nasikia huko kwenu nako akina mama wale wanaovalia niqab wamembiwa sasa basi waopnyeshe sura zao, yaani sheria imepitishwa kabisa.
 
World remit inakuwekea fedha kwenye Tigo pesa na wao wanakutoza kaushuru kidogo.

Hivyo mtu wa TZ anachungulia fwedha kwenye simu yake ya Tigo na anaona mpunga umetinga.!
makato hapa ni nafuu kulinganisha na WU au MG nk... sio...?
 
Back
Top Bottom