Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,774
- 26,062
makato hapa ni nafuu kulinganisha na WU au MG nk... sio...?
Ni nafuu sana.
Wewe unajiandikisha huko na unaweza kufanya majaribio kuona inakuwaje na ukiona poa waendelea na utaratibu.
Lakini pia kuna njia ingine ambayo unafungua akaunti benki yoyote kama CRDB na NMB, halafu unaweza ukawa unaiendesha ukiwa nje ya nchi kupitia online banking.
Hii inarahisisha utaratibu wa kufanya money transfers kutoka nje kwenda TZ halafu una-allocate locally (kwa mama, babu baba, na hata kulipia baadhi ya kodi) lakini kwa kupitia Online banking.
Hii iko kiufundi zaidi na ntaielezea baadae nkiwa nimefanikisha kila kitu.