Tanzanians abroad send home Sh. 1 trillion yearly

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,293
8,847
Dodoma:
Tanzanians living abroad sending home an average of $456.5 Million (about Sh. 1.03 trillion) annually.

A total of $ 2.283 billions (about 5.3 trillion) was remitted between 2013 to 2017, according to Ministry of foreign affairs and east African cooperation.

However the figure is lower than what other countries in East African each receive from their citizens abroad:

For instance; kenyan diaspora sent home a total of $1.95 billion in 2017 alone

Data published by bank of uganda shows that ugandan diaspora remitted a total of $1.2 billion in 2016, up from $ 1 billion in 2015

Mr. Ole Nasha...
told the parliament that the ministry had directed tanzanian embassies to keep registers of tanzanian living in various countries, their economic activities, skills and professional level to ensure that the government had accurate data on what and how they could contribute to the national economy

Tanzanians abroad send home Sh1 trillion yearly
 
mlioko ng'ambo tuna shukuru kwa mabox yenye faida... serikali imeyatambua... ila mkajisajiri kuonesha ujuzu mlio nao huko ng'ambo

hahahahahahahahahahahahahaaa....
 
Wabeba maboksi tumefulia hatuna hata hela ya nauli kurudi kusalimia!
sasa hizi zinazo kuja huku... kutoka kwenu zina tokea vyanzo gani??? au ni utakatishaji wa stahili ya zamani inayo onekana kuwa na tija wakati huu
 
Wabeba maboksi hawana hela. Siziamini hizo takwimu teh teh!
itakuwa ni za kupika mkuu.... hahahahahaaaa... maana tuna ambiwa wakenya na waganda wanabeba sana bokisi huko majuu...

na return yake ina jionesha...
 
Wabeba maboksi hawana hela. Siziamini hizo takwimu teh teh!
Hizo pesa ni ndogo sana ukilinganisha na ukweli wa pesa inayoenda TZ. Yaani hii ni pesa iliyotumwa kwa West union, banks na Mpesa lakini ukimtuma mtu pesa serikali haijui. Utamaduni ndiyo unaanza kwenda kwenye njia za kisasa ya App kama Sendwave na mtaona mapato yanaongezeka kwasababu watanzania wataanza kutumia njia za simu kutuma pesa. Mimi nilikuwa na Harusi miaka michache nilituma zaidi ya $6000 kwa mara ya kwanza kwa kutumia simu kwa miezi mitatu hivi. Tuachane kusemana sisi wote ni Watanzania hivyo tuangalie ushindani badala ya kuoneana wivu
 
Aisee... Nashukuru kwa kudadavua na kunifanya nipate kitu kipya... una weza ukadadavua zaidi kama kuna ya zaidi...

mimi huwa napata zaidi kupitia WU... ila kwa sasa nime weza kujifunza kitu kwa hawa wachina WeChat na kutuma pesa kupitia hiyo app yao...

ulaya sijajua na marekani ni app ipi ina tumika huko na naweza toa au ikaingia moja kwa moja ktk hizi mpesa pesa...
 
That's a good start. Diaspora wanatuma hela nyingi nyumbani sema tuu viongozi wetu na wananchi wachache bado wanaishi kwenye ulimwengu wa mwaka 47! Ni vizuri kuwatambua na kuhakikisha wanathaminiwa kama wananchi wengine. Mfano kwa nini tusiruhusu hawa watu wapige kura wakati wa uchaguzi? Kwa nini wasiruhusiwe kununua na kumiliki ardhi kama waTanzania wengine bila kificho? Wakati wazungu na wageni wanamiliki mali na mengineyo bila wasiwasi?

Waacheni watu watafute uraia na fursa nyinginezo huko mambelezz. Mimi kuwa raia wa Sweden hakunifanyi nisahau kwamba nimezaliwa Ushirombo au kama nina uwezo wa kuwasaidia ndugu zangu TZ nisiwasaidie....

Tukubali Tukatae, Tanzania itaendelezwa na waTanzania wote. Hizi akili na roho za husda na roho mbaya havisaidii. Wote tukiwa masikini au tukaajiriwa na halmashauri nani atasaidia mwenzake??

Mimi nimefanya kazi nchi mbali mbali. Ndo maana mpaka leo, nikiona kijana ana hussle kwenda kokote kule, the best I say is Good luck mate! Tatizo waTanzania wengi bado tunaoneana wivu. Tuna roho za tukose wote. Mtu anafurahi akikuona na wewe ni mtendaji wa kijiji au afisa masuuli idara ya serikali.

Tupambane na tusaidiane kupeana michongo vijana wachomoke. Akienda huko akatuma hela ndugu zake wakasoma, wazazi wakajenga nyumba decent..ndo ujenzi wa taifa huo ati....! Otherwise, wote tutabaki kumlaumu Jiwe kwa kubana pesa za posho na kupandisha madaraja.
 
wapo wachache wanao thubutu na wapo wengi wanao katisha wengine tamaa...
 
Kwa kuanzia mkuu masanja, kuna nyuzi humu zinazoomba wadau waliowahi tembea ama kufanya kazi nchi mbalimbali kujadili fursa na changamoto zilizopo huko ng'ambo walikopitia..Mkuu karibu upitie hizo nyuzi utuachie uzoefu wako na fursa pia.
 
Hivi kuna mTz aliechukua uraia ameshindwa kununua kiwanja/nyumba kwasababu amebadili uraia? Wengi nawajua wana nyumba/viwanja na hawasumbuliwi.
 
ina wezekana dokumenti ni kwa majina mengine ya ndugu... au wananunua kwa majina yao lakini ni rahisi kufurumushwa... ni kama dai kununua nyumba south wakati yeye ni Mtz... hana haki zote kama msouth...
 
Kwa kuanzia mkuu masanja, kuna nyuzi humu zinazoomba wadau waliowahi tembea ama kufanya kazi nchi mbalimbali kujadili fursa na changamoto zilizopo huko ng'ambo walikopitia..Mkuu karibu upitie hizo nyuzi utuachie uzoefu wako na fursa pia.
litakuwa jambo jema... akifanya hivyo... mkuu weka link ya huo uzi
 
Kwa waliopo US kuna App inaitwa SendWave ina tuma moja kwa moja kwenye Mpesa account. Pesa inaingia hapohapo na inakutumia email . Haina fees wanakupa tu rate ndogo kidogo kulinganisha na market kwenye exchange rate lakini bado ni nzuri kuliko money gram na type hizo za kutuma pesa. Pesa inatoka kwenye card ya bank yako moja kwa moja
 
Back
Top Bottom