Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,324
- 15,005
Wachagga walilazilishwa kuhama Kilimanjaro na kwenda Morogoro? Wasukuma walilazimishwa kutoka Mwanza na kwenda Chunya? wamasai walilaIamishwa kutoka Arusha kwenda Morogoro? na wabara walilazimishwa kukimbilia Dar? Sababu ni zilezile zilizofanya nao diaspora waondoke na kwenda kwingine unapolazimisha warudi wakati wameenda kutafuta basi lazimisha na wamasai warudi Aruaha, wachagga warudi Moshi na wasukuma warusi Mwanza
Kama mfano wako ni huo basi huyo unayemuita mchaga kama akihama kwao na akauza shamba lake pia hawezi kurudi baada ya miaka kadhaa na kudai arudishiwe lile shamba kwa maana ni la ke tangu vizazi, kama akirirudi na akiwa bado hajauza shamba lake basi ruksa kulitumia kama ameliuza basi imekula kwake na inabidi aanze moja kutafuta shamba lingine!