Tanzanian diaspora mnatuangusha

Tanzanian diaspora mnatuangusha

watanzania wengi nje hawana kazi za maana. watanzani wasomi kutoka kwao ni kazi sana, nahisi na ujamaa ulichangia.

Hawana kazi za maana sababu mmekataa uraia pacha kazi nyingi za maama hupatikana kwa aliye raia. Hili litasaidia mruhusu uraia pacha nchi zote hizo zilizotajwa hapo zina uraia pacha kwahiyo watanzania mmeona umuhimu wa uraia pacha?
 
Mkuu, nakubaliana na wewe. zimbabwe kwa miaka 10 imezalisha wakimbizi wa kiuchumi ambao wametapakaa karibia duniani kote. wazimbabwe wengi hufanya kazi ambazo hata sisi wabongo hatuzitaki, ili wapate hela ya kutuma nyumbani.

Kweli Mkuu kuna kipindi nilienda Uingereza kati ya waafrika wanne utakao kutana nao mmoja ni mkaribeani, wa pili west Africa , wa tatu mzimbabwe na wa mwisho rest of Africa . Yaani nilikuwa nashangaa wazimbabwe walivyo wengi baraa , hata girlfriend wangu alikuwa mzimbabwe
 
Sidhani kama hoja yako ni valid.
We angalia hizo nchi kwenye hiyo list......TOGO, LESOTHO!
Tungefikia hata $1 billion ingekuwa safi sana. In fact remittances zingefidia hizo $500 million tunazofadhiliwa na wazungu!

Togo na Lesotho zina raia wengi zaidi nje mara dufu ya Tanzania iwapo ulikuwa hujui na Lesotho asilimia 60 ya work population yake iko South Africa migodini maana nyumbani hakuna ajira
 
Hoja yangu ina maana kwa maana huwezi kutaka kulinganisha vitu bila kuwa na Data zote!
Wewe umetoa figure tu ya fedha zinazotumwa kwenye hizo nchi!
Sasa bila kujua hizo nchi zina wakazi wangapi huko nje unawezaje kusema Diaspora wa nchi fulani hawatumi fedha nyingi kulinganisha na nchi fulani?

Kwa mfano kama Je nikuuliza ni asilimia ngapi ya Wasenegali walioko nje ya Senegali wanatuma fedha nyumbani utasemaje? hiyo namba utaipataje kama haujui Idadi ya Wasenegali waliokuwa nje ya Senegali?

Sikatai wala sipingi labda ni kweli Watz wetu hawatumi fedha nyingi Nyumbani lkn bila ya kupata idadi kamili ya watu wa hizo nchi walioko nje ukilinganisha na ya wa kwetu walioko nje inakuwa ngumu kuhitimisha!

Umejibu kisomi sana mkuu by the way wasenegal walioko nje ni ni wengi sana sawa na 35% ya population ya nchi yao
 
Ni kwa nini kila siku Wa huko nyumbani ni kufikiria kuwakamua tu Diaspora ili hali hawataki kuwasaidia ili wawasaidie?

Na haya mambo ya kulinganisha eti fulani katuma nini , Fulani kufanya nini, Fulani anafanya kazi gani , binafsi siyapendi maana hatuko kwenye mashindano ya kutuma pesa. Ukutuma zaidi na umatonya unazidi sijui ni kwa nini serikali isiwe wabunifu na kuacha kuwa tegemezi hata toka kwa diaspora
 
Umejibu kisomi sana mkuu by the way wasenegal walioko nje ni ni wengi sana sawa na 35% ya population ya nchi yao
Ila lets not jump into conclusions haraka.....kama kuna mtu aliye na takwimu rasmi za idadi ya waTZ waishio nje aziweke hapa....Si ajabu kwa nchi hii kukuta hamna takwimu hizo. Wizara ya mambo ya nje imepuuzwa sana! limetumbuka
 
Last edited by a moderator:
Most of the time I stop to read on these topics one things stands out, there is some type of anomosity between
those left at home and those in the diaspora. I have tried to figure out where all this stems from but I have never
quite understood.

Big difference with KE, where we are one and infact when top government officials, including the President, visit
they make it a point of visiting our diasporans with the main message of "Send cash back home". That's how our money
gets there.

Hii biashara ya kuvutana mashati is not beneficial at all. Then I see folks bashing dual citizenship and I just shake
my head.

Naomba darasa on the Tz perspective.

Shukran.
It's just about the number of people emigrating from TAnzania is way less than those emigrating from Kenya and UGanda. The rest is just extra extra kufikirika but not the main reason.
 
Money sent home by migrants competes with international aid is one of the largest financial inflows to developing countries. In 2013, according to the World Bank Report, $404 billion went to developing countries (a new record) with overall global remittances totaling $542 billion. Remittances are playing an increasingly large role in the economies of many countries, contributing to economic growth and to the livelihoods of less prosperous people.

Migrants send approximately 10% of their household incomes; these remittances made up a corresponding 50–80% of the household incomes for the recipients.

Remittances to Africa play an important role to national economies, but little data exists as many rely on informal channels to send money home. Today's African Diaspora consists of approximately 20 to 30 million adults, who send about USD 40 billion annually to their families and local communities back home. For the region as a whole, this represents 50 percent more than net official development assistance (ODA) from all sources, and, for most countries, the amount also exceeds foreign direct investment (FDI). In several fragile states, remittances are estimated to exceed 50 percent of GDP. Next to petrodollars, the second biggest source of foreign exchange earnings for Nigeria are remittances sent home by Nigerians living abroad.

The list of recepient Countries in the World of remittances from abroad include even top Countries in Europe like Germany, (Yes Germany receives money from its migrant workers abroad.)France, Spain, Belgium, even other non European Countries like China, Nigeria, Mexico and India.

Remittances are not a new phenomenon in the world, being a normal concomitant to migration which has always been a part of human history. Several European countries, for example Spain, Italy and Ireland were heavily dependent on remittances received from their emigrants during the 19th and 20th centuries. In the case of Spain, remittances amounted to the 21% of all of its current account income in 1946

Foreign Currency Reserves (Forex Reserves). This is the amount of foreign currency reserves that are held by the Central Bank of a country.In general use, foreign currency reserves also include gold and IMF reserves. Also, people may take into account liquid assets that can easily be converted into foreign currency.
The most common currency for holding foreign currency is the dollar with 64%, the Euro is increasing its share and now accounts for 26%.

Reasons for Holding Foreign Currency Reserves
Influence the exchange Rate. With large foreign exchange reserves, a country can target a certain exchange rate. For example, suppose China wanted to increase the value of its currency the Yuan. China could sell it's dollar reserves to buy Yuan on the foreign exchange markets. The increased demand for Yuan would appreciate the Yuan. Actually, the Chinese have been trying to keep the Yuan undervalued by selling Yuan and buying Dollars. This is why China has so many Dollar reserves. In a fixed exchange rate, foreign currency reserves can play an important role in trying to keep a target exchange rate.

Act as a Guarantor for Liabilities such as External Debt. If a country holds substantial foreign debt, holding foreign currency reserves can help to give more confidence in the country's ability to pay. If countries have dwindling foreign currency reserves, there is likely to be a deterioration in a country's credit worthiness.

Often an increase in foreign currency reserves may simply reflect a large current account surplus and a desire to prevent the currency appreciating too much. By buying foreign currency the domestic currency is kept lower than it would otherwise have done.
 
List of African Countries by diaspora remittance;

1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4.
Senegal ($1.2 billion)
5.
South Africa ($1.0 billion)
6.
Uganda ($0.8 billion)
7.
Lesotho($0.5 billion)
8.
Ethiopia ($387 million)
9.
Mali ($385 million)
10.
Togo ($302 million)

Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?

hamia huko basi uongeze pato

wenzenu wana dual citizenship, wanakua recognized na hawaonekani kama wakimbizi kwao, sisi kutwa kucha kuwabeza diaspora, na matokeo yake na wao pia wameshindwa kuweka link njema, achilia mbali other problems zinazowahusu wao directly kama vile kutokua na kazi za uhakika, kukosa uadilifu nk
 
Since 2000, remittances have increased sharply worldwide, having almost tripled to $529 billion in 2012. In 2012, migrants from India and China alone sent more than $130 billion to their home countries. This is a huge amount that can stimulate an economy. So i think remittances from migrants are very important.

The stability of remittance flows despite financial crises and economic downturns make them a reliable financial resource for developing countries. As migrant remittances are sent cumulatively over the years and not only by new migrants, remittances are able to be persistent over time. Remittances are often sent by circular migrants, migrant workers who move back and forth between their home and host countries in a temporary and repetitive manner. These workers have the benefit of working in a high-income country and sending their remittances to a low-income country, thus benefitting financially. At the state level, countries with diversified migration destinations are likely to have more sustainable remittance flows.
From a macroeconomic perspective, remittances can boost aggregate demand and thereby GDP as well as spur economic growth.
 
Maisha ni matamu mno hapa nyumbani kwanini kwenda ughaibuni
 
Suala la Dual Citizenship kwa Watz wengi sio kama wanalipinga bali hawaoni umuhimu wake!
Labda ngoja nikuulize kwa maana umekiri kwamba wewe ni Mkenya!
Najua Kenya mmeruhusu Uraia pacha, je fedha zinazotumwa nyumbani na MaDiaspora zimeongezeka kwa kiasi gani (asilimia % ngapi) ukilinganisha na wakati ambao kulikuwa hakuna Dual Citizenship? (unaweza kujibu kwa Kiingereza Ukipenda!)


Mkuu tusidanganyane Kenya hawakuruhusu urais pacha sababu eti ya kutuma pesa nyumbani bali iliruhusiwa ikiwa kama haki ya msingi ya kila mkenya pili si wakenya walioamua vile bali Rais Kibaki alitoa maagizo kuwa ni lazima halina mjadala maana ni haki ya raia na haikuishia kwake hata Museven alitoa directives pia Kagame wa Rwanda na Nkuruzinza wa Burundi wakati nchi zao hazipati pesa nyingi toka diaspora

Tusiwe tunachanganya haki za misingi za mwananchi za mchango wake katika taifa ni sawa na kulazimisha mzurulaji na ombaomba wanyang'anywe uraia kisa hawana mchango hiyo haijalishi haki zao ziko palepale. Diaspora waliondoka kwa hiari zao haiwanyimi haki zao ni sawa na mchagga aliyehamia Morogoro kutafuta mashamba, Mnyakyusa kuhamia Dar au Msukuma kuhamia Chunya ingawa walihama wa hiari haki zao ziko palepale awe anazalisha au hazalishi ili mradi havunji sheria
 
Mkuu tusidanganyane Kenya hawakuruhusu urais pacha sababu eti ya kutuma pesa nyumbani bali iliruhusiwa ikiwa kama haki ya msingi ya kila mkenya pili si wakenya walioamua vile bali Rais Kibaki alitoa maagizo kuwa ni lazima halina mjadala maana ni haki ya raia na haikuishia kwake hata Museven alitoa directives pia Kagame wa Rwanda na Nkuruzinza wa Burundi wakati nchi zao hazipati pesa nyingi toka diaspora

Tusiwe tunachanganya haki za misingi za mwananchi za mchango wake katika taifa ni sawa na kulazimisha mzurulaji na ombaomba wanyang'anywe uraia kisa hawana mchango hiyo haijalishi haki zao ziko palepale. Diaspora waliondoka kwa hiari zao haiwanyimi haki zao ni sawa na mchagga aliyehamia Morogoro kutafuta mashamba, Mnyakyusa kuhamia Dar au Msukuma kuhamia Chunya ingawa walihama wa hiari haki zao ziko palepale awe anazalisha au hazalishi ili mradi havunji sheria

Duh! Wewe Mshikaji kama kweli ni Mwanadiaspora na unaishi nchi za Ulaya, Marekani au Ujapani basi utakuwa hauzitendei haki Nchi hizo tajiri na zilizoendelea kwenye kila nyanja!
Unawezaje kulinganisha haki ya Mtanzania ndani ya Tanzania na Raia wa kigeni aliyezaliwa TZ lkn anaishi nje ya Tanzania?

Mbona hilo swala Serikali wameshaliona na limeshaingizwa kwenye Katiba mpya na kwamba mnaambiwa kama siku mtaamua kurudi nyumbani TZ basi mtakuwa na haki ya kuishi na kufanya yote mnayotaka kuyafanya kama vile sisi raia tuliobaki hapa tulivyo, sasa shida yenu iko wapi?
 
na wingi wao pia. US kuna kama wakenya 100,000 wakati watz ni 20,000.

nashangaa watu hawalioni hilo....watanzania ni kidogo sana huko ulaya,wakenya wameanza kwenda kuzamia ulaya miaka ya 60s wakati watanzania wameanza kwenda kwa wingi miaka ya 90s
 
List of African Countries by diaspora remittance;

1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4.
Senegal ($1.2 billion)
5.
South Africa ($1.0 billion)
6.
Uganda ($0.8 billion)
7.
Lesotho($0.5 billion)
8.
Ethiopia ($387 million)
9.
Mali ($385 million)
10.
Togo ($302 million)

Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?

hivi wanahesabu na hela watu wanazotuma kwa wapemba??? watz wengi wanatuma hela kwa njia zao wenyewe,hazina rekodi....watu wanatuma thousands of pounds kupitia wapemba kwasababu ukituma kwenye right channels[bank/western union etc] maswali mengi na kama ujuavyo wengi wanaishi kimtindo...wengine wakimbizi, wengine hawana documents kabisa.
 
Duh! Wewe Mshikaji kama kweli ni Mwanadiaspora na unaishi nchi za Ulaya, Marekani au Ujapani basi utakuwa hauzitendei haki Nchi hizo tajiri na zilizoendelea kwenye kila nyanja!
Unawezaje kulinganisha haki ya Mtanzania ndani ya Tanzania na Raia wa kigeni aliyezaliwa TZ lkn anaishi nje ya Tanzania?

Mbona hilo swala Serikali wameshaliona na limeshaingizwa kwenye Katiba mpya na kwamba mnaambiwa kama siku mtaamua kurudi nyumbani TZ basi mtakuwa na haki ya kuishi na kufanya yote mnayotaka kuyafanya kama vile sisi raia tuliobaki hapa tulivyo, sasa shida yenu iko wapi?

Haki inayotakiwa ni uraia pacha sio hiyo haki isiyo na kichwa wala miguu nchi karibia zote duniani si Saud Arabia, Marekani, Misri au South Africa zinaruhusu ukiacha zote za maziwa makuu kasoro Tanzania na Malawi ni unyimaji wa haki za msingi. Hizo haki kiduchu hazitakiwi ni danganya toto haki ya kweli ni uraia pacha kama wenzetu Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, DRC nk

Iwapo wanaukataa uraia pacha hii East African Community ya nini? Maana itaruhusu free movement ya labor na makazi kwa watu wa nchi jirani lakini mtanzania aliye na uraia wa ujerumani itabidi aombe visa kuingia nchini kwake alikozaliwa na mkenya hapana maana ni EAC

Mbaya zaidi Abdul Hassan Mohamed wa Oman aliyeomba uraia wa Tanzania anakuwa wa maana kuliko Lindimu Bugate aliye mtanzania.lakini ana uraia wa Cuwait. Hili serikali ni useless limekaa kimadeal
 
List of African Countries by diaspora remittance;

1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4.
Senegal ($1.2 billion)
5.
South Africa ($1.0 billion)
6.
Uganda ($0.8 billion)
7.
Lesotho($0.5 billion)
8.
Ethiopia ($387 million)
9.
Mali ($385 million)
10.
Togo ($302 million)

Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?


Usichokijua ni kuwa diaspora Wakenya walioko Tanzania wamo katika top 3 ya wanaorudisha hela nchini kwao Kenya. Na hapo hamna utafiti wa diaspora wa Kihindi, Pakistan na Bangladesh waliojazana kwenye magodawn ya dsm. Kwa kifupi watz sio wengi nje na wageni ndio wanakuja hapa shamba la bibi kuchuma
 
List of African Countries by diaspora remittance;

1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4.
Senegal ($1.2 billion)
5.
South Africa ($1.0 billion)
6.
Uganda ($0.8 billion)
7.
Lesotho($0.5 billion)
8.
Ethiopia ($387 million)
9.
Mali ($385 million)
10.
Togo ($302 million)

Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?

Inategemea kuna watanzania wangapi diaspora. Nchi zote ulizotaja hapo zina uraia wa nchi mbili au hazimvui uraia mtu wao anapopata uraia wa nchi nyingine wakati Tanzania haturuhusu kitu kama hicho. Kwa hiyo watanzania ambao walishaachia uraia wa Tanzania ili wasalimike huko waliko hawawezi kuhesabiwa kwenye data zako na huenda ndio wanaotuma mshiko mkubwa sana huko kwa ndugu zao .
 
Haki inayotakiwa ni uraia pacha sio hiyo haki isiyo na kichwa wala miguu nchi karibia zote duniani si Saud Arabia, Marekani, Misri au South Africa zinaruhusu ukiacha zote za maziwa makuu kasoro Tanzania na Malawi ni unyimaji wa haki za msingi. Hizo haki kiduchu hazitakiwi ni danganya toto haki ya kweli ni uraia pacha kama wenzetu Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, DRC nk

Iwapo wanaukataa uraia pacha hii East African Community ya nini? Maana itaruhusu free movement ya labor na makazi kwa watu wa nchi jirani lakini mtanzania aliye na uraia wa ujerumani itabidi aombe visa kuingia nchini kwake alikozaliwa na mkenya hapana maana ni EAC

Mbaya zaidi Abdul Hassan Mohamed wa Oman aliyeomba uraia wa Tanzania anakuwa wa maana kuliko Lindimu Bugate aliye mtanzania.lakini ana uraia wa Cuwait. Hili serikali ni useless limekaa kimadeal


Ndugu nakushangaa sana unapoorodhesha nchi zinazoruhusu Uraia pacha bila ya kutambua ya kwamba kila nchi ina Vipaumbele vyake yaani kila nchi kuna mambo ambayo inaona ni muhimu hizo nchi za Kiafrika ulizozitaja wao wameona umuhimu wa Uraia pacha sisi kwetu bado hatujaona na hakuna tatizo lolote hapo!

Nitakupa mfano mdogo sana umetaja Marekani kwamba ina ruhusu uraia pacha lakini unajua Sheria ya Marekani inasema nini kuhusu Uraia pacha?
Kama haufahamu ni hivi kama wewe ukiwa raia wa Marekani halafu ukaamua kuchukua Uraia wa nchi nyingine tusema TZ na unaishi TZ basi ni lazima pia ulipe kodi Marekani yaani kwa maana nyingine ulipe kodi mara mbili (nchi unayoishi na Marekani) na kwa Marekani ni lazima ulipe 30% ya Mshahara wako kodi, sasa ni kwa nini wameamua hivi?

Na jibu lake ni rahisi wao kama Marekani wameona raia wao kuwa uraia pacha hawafaidiki kama nchi na ili wafaidike basi ni lazima wanaochukua uraia wa Marekani na wanaishi nje ya Marekani pia walipe kodi Marekani na ndio hata sisi (mimi binafsi) tunasema maadamu Diaspora aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa manufaa yake binafsi kuchukua Uraia wa nchi nyingine basi pia hatuwezi kumwacha tu anvyoamua yeye kwa matakwa yake mwenyewe na siku anayotaka yeye kuwa Mtz au la, HAPANA na ndio maana Serikali imesema aliyeukana UTZ basi siku akirudi TZ atakuwa utambulisho wa Makazi maalumu, kumbuka huyo Muomani unayemuongelea ametimiza masharti ya Uraia wa TZ, ni rahisi kihivyo tu!
 
Back
Top Bottom