msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
- Thread starter
- #21
World bank na wikipedia......nitakuwekea links baadae kidogoSOURCE? Methodology gani waliyotumia?
World bank na wikipedia......nitakuwekea links baadae kidogoSOURCE? Methodology gani waliyotumia?
Here we go again...
Anti-wabeba maboksi massive where y'all at?
Hizo data bila Wazimbabwe sizikubali kama za kweli. Mleta mada tueleze source
Hizo data bila Wazimbabwe sizikubali kama za kweli. Mleta mada tueleze source
In Africa, Kenya is the leading immigrant sender with Burkina Faso, Nigeria, Uganda, Ethiopia and Senegal.Sources
worldbank.org/en/news/press-release/2014/04/11/remittances-developing-countries-deportations-migrant-workers-wb
en.m.wikipedia.org/wiki/Remittance
Kobello
cyberspace
MTAZAMO
Watanzania wengi walioko nchi za nje hawajatoka kwenye familia lalahoi, familia zao zina uwezo kimaisha sio kama Wakenya na Waganda. Ndio maana hana shida sana itakayomfanya atumetume pesa kwa ndugu kujikimu kimaisha.
Lakini Waganda na Wakenya wametoka kwenye familia za shida huko uswekeni, ndio maana wanatuma pesa mara kwa mara kutatua matatizo ya kifamilia na wengi wao wametoka vijijini.
Hizo data bila Wazimbabwe sizikubali kama za kweli. Mleta mada tueleze source
In Africa, Kenya is the leading immigrant sender with Burkina Faso, Nigeria, Uganda, Ethiopia and Senegal.
It's not a"good" thing.
Hata tungepeleka watanzania woteWhat's with you and kutamba-ring and kutanua-ring???
Na sijui kuvuta vuta ngozi....u literally had an argument here with someone over that saying!
Anyways, nawapa Kenya big up kwa hili.....sisi diaspora wamelala usingizi wa pono!
Wakiulizwa wanasema wamenyimwa uraia Tz, i don't know how valid that point is!
Tz tungekuwa tunapata walau $1 billion tungekuwa mbali sana!
Mkuu, nakubaliana na wewe. zimbabwe kwa miaka 10 imezalisha wakimbizi wa kiuchumi ambao wametapakaa karibia duniani kote. wazimbabwe wengi hufanya kazi ambazo hata sisi wabongo hatuzitaki, ili wapate hela ya kutuma nyumbani.
Here we go again...
Anti-wabeba maboksi massive where y'all at?
Mimi yangu macho tu, watu wanajifariji kweli, mara ohh tunapenda kuinvest nyumbani, mara ni wangapi huko nje.
Hata tungepeleka watanzania wote
Nje wakabaki wanajeshi tu hela ambayo wangeleta isengefika mapato ambayo tungepata kwenye uvuvi tu achilia mbali channels nyingine hakuna
Taifa linaloendelea zaidi ya kuzalisha na kuuza nje Diaspora wanawafanya dependants hao wanaowategemea na sio productive.
Ufisadi na ulimbukeni wa viongozi wetu ndio unaotugharimu.
Most of the time I stop to read on these topics one things stands out, there is some type of anomosity between
those left at home and those in the diaspora. I have tried to figure out where all this stems from but I have never
quite understood.
Big difference with KE, where we are one and infact when top government officials, including the President, visit
they make it a point of visiting our diasporans with the main message of "Send cash back home". That's how our money
gets there.
Hii biashara ya kuvutana mashati is not beneficial at all. Then I see folks bashing dual citizenship and I just shake
my head.
Naomba darasa on the Tz perspective.
Shukran.