List of African Countries by diaspora remittance;
1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4. Senegal ($1.2 billion)
5. South Africa ($1.0 billion)
6. Uganda ($0.8 billion)
7. Lesotho($0.5 billion)
8. Ethiopia ($387 million)
9. Mali ($385 million)
10.Togo ($302 million)
Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?
hivi wanahesabu na hela watu wanazotuma kwa wapemba??? watz wengi wanatuma hela kwa njia zao wenyewe,hazina rekodi....watu wanatuma thousands of pounds kupitia wapemba kwasababu ukituma kwenye right channels[bank/western union etc] maswali mengi na kama ujuavyo wengi wanaishi kimtindo...wengine wakimbizi, wengine hawana documents kabisa.
List of African Countries by diaspora remittance;
1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4. Senegal ($1.2 billion)
5. South Africa ($1.0 billion)
6. Uganda ($0.8 billion)
7. Lesotho($0.5 billion)
8. Ethiopia ($387 million)
9. Mali ($385 million)
10.Togo ($302 million)
Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?
Ndugu nakushangaa sana unapoorodhesha nchi zinazoruhusu Uraia pacha bila ya kutambua ya kwamba kila nchi ina Vipaumbele vyake yaani kila nchi kuna mambo ambayo inaona ni muhimu hizo nchi za Kiafrika ulizozitaja wao wameona umuhimu wa Uraia pacha sisi kwetu bado hatujaona na hakuna tatizo lolote hapo!
Nitakupa mfano mdogo sana umetaja Marekani kwamba ina ruhusu uraia pacha lakini unajua Sheria ya Marekani inasema nini kuhusu Uraia pacha?
Kama haufahamu ni hivi kama wewe ukiwa raia wa Marekani halafu ukaamua kuchukua Uraia wa nchi nyingine tusema TZ na unaishi TZ basi ni lazima pia ulipe kodi Marekani yaani kwa maana nyingine ulipe kodi mara mbili (nchi unayoishi na Marekani) na kwa Marekani ni lazima ulipe 30% ya Mshahara wako kodi, sasa ni kwa nini wameamua hivi?
Na jibu lake ni rahisi wao kama Marekani wameona raia wao kuwa uraia pacha hawafaidiki kama nchi na ili wafaidike basi ni lazima wanaochukua uraia wa Marekani na wanaishi nje ya Marekani pia walipe kodi Marekani na ndio hata sisi (mimi binafsi) tunasema maadamu Diaspora aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa manufaa yake binafsi kuchukua Uraia wa nchi nyingine basi pia hatuwezi kumwacha tu anvyoamua yeye kwa matakwa yake mwenyewe na siku anayotaka yeye kuwa Mtz au la, HAPANA na ndio maana Serikali imesema aliyeukana UTZ basi siku akirudi TZ atakuwa utambulisho wa Makazi maalumu, kumbuka huyo Muomani unayemuongelea ametimiza masharti ya Uraia wa TZ, ni rahisi kihivyo tu!
Vipaumbele vya kijinga havina mantiki ndo maana Tanzania huambiwa serikali yetu ya kibabaishaji kwa sababu faida ya uraia pacha ni sawa duniani kote si kwamba Marekani na Saud iwe hivi Tanzania na Kenya iwe vile faida ni ile ile ila imekuwa proved mataifa ya kukataa ni sababu serikali zao za kimangimeza hazitaki walioko nje kuja nyumbani kutoa wajinga madarakani
Umesahau hizi nchi zinaruhusu urahia pacha
Sio sawa kwa mzawa wa Bongo kulazimishwa kuomba uraia wkati hii ndiyo nchi yake!Kwani mnakatazwa kuja kuwatoa si mmeambiwa mkitaka kurudi nyumbani hamtakuwa Wageni kabisa bali mtakuwa na hadhi maalumu na kama ukitaka kumtoa mtu madarakani basi omba Uraia wa TZ tena kama wengine na ukitimiza masharti utapewa!
We huoni wabongo wenzetu wanavyotuangusha? Badala ya kutuma hela home na kuinvest huku sijui wanafanya nini hela zao. Diaspora can be a major source of dollars in our economy!Hata sielewi mnaangushwa kivipi.
Ni kina nani nyinyi mnaoangushwa?
Watu wenyewe mnawadharau na kuwachukia hao wabeba maboksi halafu mnajidai eti mnaangushwa utadhani mliingia mkataba nao wa kufanyiana mambo.
We huoni wabongo wenzetu wanavyotuangusha? Badala ya kutuma hela home na kuinvest huku sijui wanafanya nini hela zao. Diaspora can be a major source of dollars in our economy!
Build your home so even your kids and grand kids can be proud to say they have their roots here. There will come a day all blacks from allover the world will feel proud of saying they originate from Tanzania and the rest of Africa. It begins with you man!Oh please, screw them.
Everybody for himself.
What's with you and kutamba-ring and kutanua-ring???
Na sijui kuvuta vuta ngozi....u literally had an argument here with someone over that saying!
Anyways, nawapa Kenya big up kwa hili.....sisi diaspora wamelala usingizi wa pono!
Wakiulizwa wanasema wamenyimwa uraia Tz, i don't know how valid that point is!
Tz tungekuwa tunapata walau $1 billion tungekuwa mbali sana!
We huoni wabongo wenzetu wanavyotuangusha? Badala ya kutuma hela home na kuinvest huku sijui wanafanya nini hela zao. Diaspora can be a major source of dollars in our economy!
Ni mpaka utapoweza kuweka line ya uhusiano wa uraia pacha, kipato na willingness ya mtu kutuma pesa.....
Kwani mnakatazwa kuja kuwatoa si mmeambiwa mkitaka kurudi nyumbani hamtakuwa Wageni kabisa bali mtakuwa na hadhi maalumu na kama ukitaka kumtoa mtu madarakani basi omba Uraia wa TZ tena kama wengine na ukitimiza masharti utapewa!
Kwani mnakatazwa kuja kuwatoa si mmeambiwa mkitaka kurudi nyumbani hamtakuwa Wageni kabisa bali mtakuwa na hadhi maalumu na kama ukitaka kumtoa mtu madarakani basi omba Uraia wa TZ tena kama wengine na ukitimiza masharti utapewa!