KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,510
- 3,311
Idiot you want me to start listing payrolls here? Wekeni yenuWeka ushahidi from credible sources hii maneno ya nlifanya huku na huku no one gives a flying f*ck
Idiot you want me to start listing payrolls here? Wekeni yenuWeka ushahidi from credible sources hii maneno ya nlifanya huku na huku no one gives a flying f*ck
..............and do you have evidence yourself? Anyway....................
Kenya ð°ðª Teachers Are The Most Well Paid In East Africa
ANALYSIS By Dorris Otieno Kenyan teachers are not only the best paid in East Africa, but also earn almost 12 times more than the country's a...maziwamakuu.blogspot.com
Hizi fikra za kipropaganda huwa watanzania wamejaa nazo sana humu., Mnazitoaga wapi?., ., mnatamani sana!!.,
Madaktari wenu wanalipwa mishahara midogo zaidi ya manesi nchini Kenya. Alafu upo hapa ukipayuka payuka na kujiliwaza. S.Africa na Namibia tu ndio nchi za Afrika ambazo wahudumu wa afya wanalipwa mishahara ambayo ni ya level moja na ya wenzao nchini Kenya. New pay package for Kenyan doctors to rival South Africa and Namibia’s | The East African
Blogs as usual. No statistics. Kichwa Maji.Madaktari gani hao wanalipwa mshahara Mdogo, kwani unajua huku MD Amaanza na mshahara gani au unatopoka tu Mzee,
View attachment 1884845