Tanzanian CEOs 2nd highest paid in Sub Saharan Africa after Nigeria

Weka ushahidi from credible sources hii maneno ya nlifanya huku na huku no one gives a flying f*ck
Idiot you want me to start listing payrolls here? Wekeni yenu
FB_IMG_1628361043716.jpg
 
..............and do you have evidence yourself? Anyway....................




From what you have shared from your magumashi biases sources sijui maziwa Makuu magazine there is no significant differences,
Here I was talking about the average net pay for employees, Tanzania is among the best paying in the continent.
A reason mmejazana huku na Waganda mnafundisha watoto wetu wa Nurseries. We pay well.



 
Hizi fikra za kipropaganda huwa watanzania wamejaa nazo sana humu., Mnazitoaga wapi?., ., mnatamani sana!!.,

You are so ignorant. Someni acheni kuishi kwa kukaririshwa na Jubiloot républicain,
Yaani Jubiloot kina William Lootal wameiba mpaka akili zenu



 
Madaktari wenu wanalipwa mishahara midogo zaidi ya manesi nchini Kenya. Alafu upo hapa ukipayuka payuka na kujiliwaza. S.Africa na Namibia tu ndio nchi za Afrika ambazo wahudumu wa afya wanalipwa mishahara ambayo ni ya level moja na ya wenzao nchini Kenya. New pay package for Kenyan doctors to rival South Africa and Namibia’s | The East African

Madaktari gani hao wanalipwa mshahara Mdogo, kwani unajua huku MD Amaanza na mshahara gani au unatopoka tu Mzee,
IMG_0274.png
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom