Nilikuwa naangalia picha za aunt ezekiel nikakutana na hii thread kuifungua nakuta comment yakoRIP Kanumba, naona kuna feminists twitter wanatetea ujinga.
What do you mean?Members wengi waliochangia hii post ni wachache ambao bado wako jf
we mwongoinasemekana ni ajali maeneo ya uhasibu
Vp mkuu ray kaisha toka??Kama ni kweli basi R.i.p kipenzi cha wengi.
Ray kapata pa kutokea sasa
Mkuu ulishaga yapata hayo mashatiHivi, kuna picha yake hapo juu amevaa suti ya cream na ndani shati fulani, nauliza hayo mashati yanapatikanaga wapi sijui?
Hata kama mtakasirika, nipeni tu jibu langu
Ray atatoka je na makelele yale? Ila amekuwa mweupe baada ya kugida maji mingi mingiiiiiVp mkuu ray kaisha toka??
Members wengi waliochangia hii post ni wachache ambao bado wako jf
Pole sana mkuu.....may his soul rest in peaceThee guy died the same night my father died.
Hahaha