georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
RIP Kanumba. hatukuwahi kusikia alikuwa mgonjwa siku za karibuni, je nani mwenye data chanzo cha kifo cha mpendwa wetu?
Yes I'm at arround mortuary area at Muhimbili na mwili wake umefikishwa muda mfupi uliopita. RIP KANUMBA
Wadau habari ni za kweli! redio nyingi zimeshatangaza kifo chake,kilichobaki tumuombee kwa mwenyezi Mungu amuweke panapostahili!
Kama ni kweli basi R.i.p kipenzi cha wengi.
Ray kapata pa kutokea sasa
inasemekana ni ajali maeneo ya uhasibu
Afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan said:Bara lipi wanaruhusiwa kutukana wazazi wao?