- Thread starter
- #41
Hujitambui!Shame on you! What country if you are denied even dual citizenship? pumba na pumbaff kabisa mafi ya kuku.
Hujitambui!Shame on you! What country if you are denied even dual citizenship? pumba na pumbaff kabisa mafi ya kuku.
Heri mimi kuliko wewe marehemu kiakili. Nyie ndiyo mmeshindwa hata kutoka lakini mnaombaomba hao diaspora vijidola vyao na kuwanyima uraia pacha.Hujitambui!
😂😂😂😂 Kwei failure is an orphan09 June 2025
View attachment 3363585
Such a great opportunity to speak to Senator Reverend Warnock's office regarding the deterioration of human rights, infringement of freedom of religion, speech, and assembly in Tanzania.
As diaspora members, we have to step up when voices of dissent are silenced and democracy is at stake.
View attachment 3363583
Hapo nilipoweka rangi nyeusi unamaanisha nini?What about in Carifania and Gaza ?
Katika hao wawili yupi Ana akili?Jamani mlio karibu na Mama Abdul, hivi anajisikiaje kuona Watanzania walio na akili kubwa kumpinga düniani kote? Mama Abdul anajidanganya kujiweka karibu na machawa (Steve Nyerere, Mwijaku, Baba Levo, Dotto Magari, na wasanii wa fleva) wasio na akili kuhisi watanzania wote wako na akili kama wao. Kwa bio hizi za kupigwa vita na wananchi wake walio na akili kubwa, itatufanya Watanzania sasa tupigwe ban kwenda Marekani kwa ujinga wa CCM.
Lugha gani hii?🤔What about in Carifania and Gaza ?
Liberatus Mwangombe and Likokola raise their voices to rescue democracy in Tanzania
View: https://youtu.be/l9erg9tHckI
Liberatus Mwangombe and Likokola raise their voices to rescue democracy in Tanzania
View: https://youtu.be/l9erg9tHckI
Jamani mlio karibu na Mama Abdul, hivi anajisikiaje kuona Watanzania walio na akili kubwa kumpinga düniani kote? Mama Abdul anajidanganya kujiweka karibu na machawa (Steve Nyerere, Mwijaku, Baba Levo, Dotto Magari, na wasanii wa fleva) wasio na akili kuhisi watanzania wote wako na akili kama wao. Kwa bio hizi za kupigwa vita na wananchi wake walio na akili kubwa, itatufanya Watanzania sasa tupigwe ban kwenda Marekani kwa ujinga wa CCM.
Kila akija Mbarali anachezea kichapo😂😂😂😂 Kwei failure is an orphan
Dogo kapigwa sana huku home kila alipokuja kugombea chakandumu primaries lakini sasa kaona apige harakati tu
Kaishia kujichubua tuKila akija Mbarali anachezea kichapo
Wati abauti ini Karifonia andi Gaza?Lugha gani hii?🤔
Not,you got it wrong simigoWhat about them?
What do they have to do with Tanzania
I see, you mean Samia Suluhu Hassan is bringing Gaza to Tanzania?
She will not be allowed to do that.
Kwahiyo Gaza sio watu?Matendo Mema huanzia nyumbani. Sisi tupo Gaza ya dar sio Gaza ya mashariki ya kati
Sasa kama wewe unawapenda wa Gaza zaidi ya wa hapa nenda huko, upo huruKwahiyo Gaza sio watu?
Umeelewa lakini..huyo sijui akivisiti uchwara anateseka kwa kuukosa ubunge mara zote hapa MbeyaSasa kama wewe unawapenda wa Gaza zaidi ya wa hapa nenda huko, upo huru
Hilo ni suala jingine, lakini kama nchi tuna matatizo sasa hivi ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi yasije kudhuru wengine na kuota mizizi ikawa ni kidonda sugu.Umeelewa lakini..huyo sijui akivisiti uchwara anateseka kwa kuukosa ubunge mara zote hapa Mbeya
Liberatus Mwangombe and Likokola raise their voices to rescue democracy in Tanzania
View: https://youtu.be/l9erg9tHckI