Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,576
- 14,312
Sasa hayo mambo tunayohitaji kuyafanyia kazi ndiyo huyo bwege wa Mbarali anapeleka Congress ya MarekaniHilo ni suala jingine, lakini kama nchi tuna matatizo sasa hivi ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi yasije kudhuru wengine na kuota mizizi ikawa ni kidonda sugu.