Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Ndani ya ccm hakuna mtu anayefikiria juu ya maslahi ya nchi, kila mmoja anafikiria maslahi ya tumbo lake kwanza.
Anthony Mtaka Chiganga ambaye alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa RT katika mazingira ya utata amethibitisha kuwa chama cha riadha nchini bado hakijapata viongozi wenye vision na wanaoujua mchezo wa riadha.
Kwa akili ya kawaida kabisa si jambo rahsi kwa kiongozi kuwahi moscow ilihali wanariadha wamebaki nyuma. Na haiingii akilini RT kupeleka moscow lundo la viongozi huku wanariadha wakiwa wawili tu. Lakini hii yote inawezekana tu kwa muono wa wachumia matumbo wa ccm.