Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Anthony Mtaka ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro atafungua mashindano ya Taifa ya riadha ambapo WANARIADHA zaidi ya 450, wanatarajiwa kushiriki mashindano ya riadha ya taifa yanayotarajiwa kuanza Agosti 23 hadi 24 mwaka huu 2013 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa. Source: 450 kushiriki riadha taifa MoroBy Mphamvu, Rais wa RT Anthony Mtaka (aliyechaguliwa kinyume na katiba) bila wasiwasi, aibu wala uzalendo amekwenda Moscow wiki iliyopita...
Ni matumaini yangu kuwa uzoefu wa Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania (RT) aliopata Moscow, Urusi ktk mashindano ya World Champions Moscow 2013 yatafanya mashindano hayo kuwa ya viwango vya kupata washiriki wengi wa mashindano ya dunia toka Tanzania.