Tanzania yapoteza wanajeshi watatu Sudan

walikuwa wanajeshi wa kawaida?coz nna mdogo wangu ni commandoo wa jwtz yupo huko tangu mwezi 2 mwaka huu alitakiwa kurudi tar 23mwezi huu naona kmya.
kundi la mwisho lilikua lirudi tarehe 27 wakipishana na wenzao walokua waende kule, ila watarudi tarehe 28 na miili ya mashujaa...,
 
Pole kwa wafiwa but hawa wanatakiwa kukomboa Taifa lao kwanza kutoka kwenye ufisadi tololo siyo kupambana nchi za nje alhali ndani kwao uozo chungu mzima. RIP fighters.

Kwenye mambo ya kuhuzunisha kama haya, nadhani si busara kuingiza siasa,, familia zimepoteza wapendwa walokua wanatumikia nchi na kuipa sifa nchi
 
Huu ni msiba wetu sote. Mungu awape nguvu na uvumilivu ndugu na jamaa wa marehemu na kuzilaza roho za marehemu pahala pema peponi. Amina.
 
i
walikuwa wanajeshi wa kawaida?coz nna mdogo wangu ni commandoo wa jwtz yupo huko tangu mwezi 2 mwaka huu alitakiwa kurudi tar 23mwezi huu naona kmya.

Mkuu Komandoo wa Jeshi si rahisi kupoteza maisha kwa kushindwa kuruka. Nadhani unajua makomandoo ni very very active and well trained young men. Kama mdogo wako ni komandoo basi bila shaka ana kamwili ka wastani ambako kanamuwezesha kujibeba!

Pole sana wafiwa na General Mwamunyange kwa kupoteza vijana wetu waliokuwa wakiitumikia Afrika na Dunia kwa ujumla. Mungu awape pahala pa heri
 
Natamani sana kifo cha kishujaa kama hiki,unakufa ukiwa mstari wa mbele,full combat,nyambaf kabisa.
Basi ngoja kidogo utaipata nafasi hiyo! tukianza kuwashughulikia Malawi tutakutanguliza mbele ili tujue muelekeo wa adui ukipigwa shaba utakuwa umepata unalolitaka na sisi tutajua adui yuko upandegani.
 
Kwenye mambo ya kuhuzunisha kama haya, nadhani si busara kuingiza siasa,, familia zimepoteza wapendwa walokua wanatumikia nchi na kuipa sifa nchi
Walikuwa wanatumikia nchi gani? ushidi wao huko unaweza kuleta nafuu ya maihsa kwa watanzania? RIP fighters.
 
Thanks Moshe Dayan

wanajamvi hii ni habari mbaya, badala ya kuanza kudivert na kuingia kwenye siasa tungebaki kwenye mada

hayo ya sijui wanatumikia nchi gani nk. sio mahali pake --- nionavyo mimi
 
RIP our beloved soldiers, wafiwa wote Mungu awatie faraja na tumaini katika mioyo yao

tunaipenda nchi yetu Tanzania, tunawapenda wanajeshi wetu
 
Natamani sana kifo cha kishujaa kama hiki,unakufa ukiwa mstari wa mbele,full combat,nyambaf kabisa.

Sasa hapa nyambaff ni nani? Wewe utakaekufa kibudu ama waliokufa kishujaa?
Unanchekesha (seource: FaizaFoxy)

Poleni wafiwa. Pole amiri jeshi mkuu kwa kufiwa na wapiganaji wako.
 
Yatatangazwa..., ila kama una ndugu kwenye kundi la walioondoka last week na hujapata taarifa ya kifo basi ujue ndugu yako yupo hai
Uuh,namshukuru Mungu kwa majibu haya mkuu pressure ilikuwa inapanda na kushuka.
 
Tehe Tehe Tehe!we jamaa umenifanya niitwe chizi na watoto...machozi yananitoka watoto wakamuita mama Yao mama njoo muone dad kawa chizi anachekea simu ikabidi niwaonyeshe jamaa yangu ulicho andika wao ndio nnadhani wamechoka zaidi yangu mwanangu wa P2 kaniambia dady jamaa yako kasoma mpaka anaandika kinyume nikamuuliza kama icho kinyume kimbele angeandikaje? Akasema (R.I.P Solders)

hivi upo serious wewe?
 
Habari za jioni, natumaini zoezi la sensa linaendelea vizuri huko nchini.

Habari mbaya ni kwamba wanajeshi watatu wa tanzania wamefariki dunia baada kuzama majini.

Hao ni wale wa kundi la TANZBATT 6 ambao waliondoka huko nyumbani wiki iliyopita.

Miili ya wawili imepatikana, mmoja bado, miili itarudishwa Tanzania tarehe 28 Agosti kwa ajili ya mazishi.

Taarifa hizi nimezitoa baada ya "next of kin" kutaarifiwa. Poleni sana wafiwa.

Source: Mimi mwenyewe MOSHE DAYAN.

Mungu awalaze anapo pajua...poleni wafiwa.
 
hivi upo serious wewe?
Ndio niko serious why? By JIULIZE KWANZA Tehe Tehe Tehe!we jamaa umenifanya niitwe chizi na watoto...machozi yananitoka watoto wakamuita mama Yao mama njoo muone dad kawa chizi anachekea simu ikabidi niwaonyeshe jamaa yangu ulicho andika wao ndio nnadhani wamechoka zaidi yangu mwanangu wa P2 kaniambia dady jamaa yako kasoma mpaka anaandika kinyume nikamuuliza kama icho kinyume kimbele angeandikaje? Akasema (R.I.P Solders)
 
Back
Top Bottom