Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

hii katiba si aliandika nyerere,hivi alikuwa ana maana gani? ,tumeaminishwa kuwa alikuwa mwanafilosofa
 
Hukumu yao haibadilishi katiba yetu, katiba yetu ndio njia ya maisha watanzania waliyojichagulia
Ni kweli haibadilishi katiba yetu, lakini ina athari kwa taifa. Na athari hizo ndizo zitakazotufanya tuamue kubadilisha katiba.
 
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.

Mahakama imeonya kwamba endapo haitapata majibu ndani ya kipindi hicho, mahakama inaweza kusikiliza ushahidi wa upande mmoja na kutoa hukumu.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977.

41.-(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
Rais hapatikani mahakamani anapatikana kwenye box la kura
 
Tatizo lako unafikiri kwa kutumia masaburi
Mi nadhani ulishapewa maelekezo na wazazi wako kuwa kwa umri ulionao hutakiwi kucheza na wanaume sasa ww nashangaa bado unacheza na wanaume sijui lengo lako unataka tufungwe au??

In God we Trust
 
Kama kuna muda ambao watanzania wanatakiwa waungane kupata katiba bora ni sasa katiba inaihitajika kua makin ni kipindi hiki kuliko vipindi vyote toka nchi hii imepata uhuru maana presha ya kutumia bad laws na kuzitunga zingine imekua kubwa sana nyingi ya hizi bad laws zilikuwepo lakin hazikuwai kutumika au kujionyesha makucha yake kama awamu hii, na sio tu zinaanza tumika kuna pia presha ya kuziongeza makali na kutunga zingine.
 
Muda ni huu
Kibaya zaidi hua waTz mara nyingi tunaishi kama hatuna kesho ya vizazi vijazo
Tukikumbuka kuona mapungufu ama makwazo mengi ya kisheria kwa mwenendo wa maisha katiba inatkiwa ibadilike
Matendo mengi ya ajabu na watu wanasema katiba inasema hvyo
Maisha si ya zamani na sijui kama katiba imesema haitabadilika mpk dunia iishe

Muda ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.

Mahakama imeonya kwamba endapo haitapata majibu ndani ya kipindi hicho, mahakama inaweza kusikiliza ushahidi wa upande mmoja na kutoa hukumu.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977.

41.-(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
Najua na ninaamini kuwa hili ni kati ya maswali mepesi sana yaliyowahi kuulizwa na Mahakama hii, hivyo ni swali rahisi sana kujibiwa na Serikali yetu. Hiyo Mahakama inaheshimu Katiba za wanachama wake hivyo jibu ni rahisi sana. Subiri uone!
 
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.

Mahakama imeonya kwamba endapo haitapata majibu ndani ya kipindi hicho, mahakama inaweza kusikiliza ushahidi wa upande mmoja na kutoa hukumu.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977.

41.-(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
Ah ah ah akili zangu sasa,mbona jibu liko wazi,hayapingwi sababu katiba yetu hairuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo si ndio katiba yetu inavyosema, and we are a sovereign nation, hatujibu chochote sasa. Beberu anateseka sana
 
Back
Top Bottom