Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.

Mahakama imeonya kwamba endapo haitapata majibu ndani ya kipindi hicho, mahakama inaweza kusikiliza ushahidi wa upande mmoja na kutoa hukumu.
==========

A29762D8-D304-4757-8581-5D699DD123F8.jpeg

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977.

41.-(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
 
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.
Nini kitatokea serikali isipojibu?
 
hawakawii kusema Jebra ni wakala wa mabeberu!!
 
Back
Top Bottom