Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

Mbona wewe unonekana kilaza sana, ivi Kabudi au Mtanzania yoyote atajivuaje Nguo kujibu Swali la Kikatiba Maana jibu liko wazi ni ishu ya kikatiba kama nikweli Tanzania imeandikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa akili yako unadhani katiba ilishushwa toka mbinguni na kwamba haijawahi kufanyiwa mabadiriko toka ishushwe?
 
... mbona jibu lake rahisi sana? Ni Katiba ya nchi ndivyo inavyotaka. Wananchi wa Tanzania kupitia Katiba yao waliamua utaratibu uwe hivyo!
Astaghfirullah, wananchi wa Tanzania tuliamua alivyopendekeza jaji Warioba.
 
Sasa kama katiba imesema kwan kuna ugum gan kwa hilo,
Hapo cha msingi n kuangalia upya katiba ili ndo iseme kuwa tunaweza kupinga matokeo ya urais bas....
Ndo maana tunahitaji kuangalia upya katiba yetu ili penye mapungufu parekebishwee..
Hiyo ndo dawa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ccm mnavyoombea

In God we Trust
Sasa uchaguzi hamjashinda mkapinge nini mahakamani, kama huko si kutaka kuleta migongano ya kisiasa kisha vita ije... Nyingine tamaa za madaraka tu, mkiambiwa ukweli mnajikuta kumwita mtu ccm.
 
Sasa uchaguzi hamjashinda mkapinge nini mahakamani, kama huko si kutaka kuleta migongano ya kisiasa kisha vita ije... Nyingine tamaa za madaraka tu, mkiambiwa ukweli mnajikuta kumwita mtu ccm.
Nani kakwambia ccm huwa wanashinda? Unaleta Alfa Lela ulela!
 
Wananchi walitunga lini hiyo katiba? Katiba hasa ya wananchi ni ile iliyokuwa kwenye rasimu ya Warioba, ambayo waliitupilia mbali...
... mbona jibu lake rahisi sana? Ni Katiba ya nchi ndivyo inavyotaka. Wananchi wa Tanzania kupitia Katiba yao waliamua utaratibu uwe hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya Africa ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa utetezi wake, kwenye kesi iliyofunguliwa na Wakili Advocate Jebra inayohoji ni kwanini "matokeo ya Urais nchini Tanzania hayapingwi mahakamani?" na badala yake baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza Mshindi wa Urais, moja kwa moja anakuwa ndio Rais wa Tanzania.

Mahakama imeonya kwamba endapo haitapata majibu ndani ya kipindi hicho, mahakama inaweza kusikiliza ushahidi wa upande mmoja na kutoa hukumu.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977.

41.-(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.

(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
Kesi kwisha tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have read it, but as said earlier mchakato wa katiba with fully involvement of wananchi in history of this country ni huo wa mzee Warioba... Na ndiyo maana wananchi wengi waliuunga mkono except viongozi waroho wa madaraka, ndiyo maana ukapigwa chini na hata leo hiyo rasimu hawataki hata kuisikia.
...
... had you read the message carefully you wouldn't have asked such a question.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have read it, but as said earlier mchakato wa katiba with fully involvement of wananchi in history of this country ni huo wa mzee Warioba... Na ndiyo maana wananchi wengi waliuunga mkono except viongozi waroho wa madaraka, ndiyo maana ukapigwa chini na hata leo hiyo rasimu hawataki hata kuisikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
... I wrote from the defendant's perspective. Ndivyo watakavyojibu japo inaweza isiwe sahihi.
 
... mbona jibu lake rahisi sana? Ni Katiba ya nchi ndivyo inavyotaka. Wananchi wa Tanzania kupitia Katiba yao waliamua utaratibu uwe hivyo!
wananchi wapii!??
walikaa wapi!??
have we ever had a refferendum in this country!??
kuna kamati ya chama ilijifungia dodoma ikaja na katiba ya 1977
 
Back
Top Bottom