stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Kaka nashukuru kwa mchango wako. Ila nakuambia hapa unapoteza muda wako kuwambia hawa wajinga ni lipi jeshi lao na nchi yao imefanya ndani na nje ya mipaka kwa ajili ya waafrica na hata ulimwengu mnzima.
Njaa na kutokuwa na kazi ndio majawabu haya,upuuzi kila kona. Tukianza na suala la kazi, ni nani wa kuwalaumiwa? Viongozi walio madarakani au hawa vijana wanao wachagua?
Jwtz ni kitengo ambacho pia tusipo angalia wanasiasa watakiharibu pamoja Usalama wa Taifa kuna ukabila na udini kiasi mado maaadili hayajekwenda popote.
Nguvu yenu nyinyi wafia njaa hapa jamiiforum, mnaotukana nchi na vipngozi wenu, ni kura zenu.
Mnataka nchi bora? Chagueni viongozi bora na katiba bora muache kulalamika kama wanawake.
The king.
Sifa za kijinga hizi. Badala ya kulinda raslimali zetu dhidi ya brifcase coys mnazuzuka na sifa hatarishi za kuharasi amani.?!
Angalia ufanisi kwenye matukio Majenshi ya Tanzania yalipohusishwa,Congo,Anjuan,Darfur na Lebanon,hapo unaweza jugde ubora na uwezo wao..nadhani jeshi la Tanzania liko vizuri sana kuliko wengi wanavodhani!Yale maonyesho ya watu waliokomaa pale uwanja wa Shamba la bibi, kumbe yametupandisha chati eeh...
Pole sana mkuu! Nakushauri uendelee kusifia nchi jirani.
Tanzania Army is the best army in Africa....hilo ndio fact....matatizo yetu mengine tutayajadili kwenye mada zingine......kuna mjadala nilikuwa nafatilia hata comments nyingi za Wanaigeria walikuwa wanakiri Tanzania tuna jeshi bora....hasa kichapo walichopata M23 kimetupaisha sana plus historia nzuri ya jeshi letu.
Tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa JWTZ Kongo kwani chini ya kapeti Rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka Africa huku Asia ikitoa nchi kadhaa,sasa Tanzania inawekwa level moja na seal ya USA,special force ya Israel na wakali wengine.
Source clouds fm na website mbalimbali.
Wacha kudanganya watu wewe.
Clouds fm wadaku tu, hawana lolote.
Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.
Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?
Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.
Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.
Ndugu yangu Niko DRC ni Mtanzania ..... acha kabisa TBDF issue nyingine na ni zaidi ya vile ujuavyo.....usikariri
wala hamna lolote hatuko fit kijeshi wala nini,uko comoro,drc, kama tunauwezo kweli wa kijeshi waende kumsaka koni, au boko haramu,hata al-shabab kama hatujamwagwa maviiiAngalia ufanisi kwenye matukio Majenshi ya Tanzania yalipohusishwa,Congo,Anjuan,Darfur na Lebanon,hapo unaweza jugde ubora na uwezo wao..nadhani jeshi la Tanzania liko vizuri sana kuliko wengi wanavodhani!