Muchemba tena,ndio mana siku hizi anacheka tu mbuzi kafia kwa muuza supu hapoWanakopa kwa faida zao, zitaliwa sana
Atazitumia kuusaka uraisMuchemba tena,ndio mana siku hizi anacheka tu mbuzi kafia kwa muuza supu hapo
Uko sahihi. Wengi tunaangalia tunapoangukia na tunasahau kuangalia tulipojikwaa.Tatizo SGR inakula pesa kama mchwa, hizo barabara ilikuwa kuwalewesha tu msijue ukweli, barabara zinajengwa toka enzi za Nyerere.
Isitoshe Kikwete anahusika na nini humo wakati Deni la Taifa limepaishwa na yule chizi.Walalamishi hamkosi, serikali ikisema izisake hizo pesa mifukoni mtalia kwa matako ndio maana wanapunguza maumivu kwa mikopo .
Tozo tuu mnalia Lia hivi wakiongeza je? Mchanganuo wa bajeti ya serikali huwa ina components za kukopa,makusanyo ya tra,maduhuli ya serikali nk .
Tumeambiwa ni za Elimu ila hawakawii zingine kupelekwa kwenye madaraja na reli.....na zingine nyumbani.Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB).
Wewe hunufaiki na miradi inayotekelezwa? Ukiitwa pimbi utabisha?Ukiwa mnufaika lzm uwe kipofu
Ukiwa kula kulala ni lzm uwe kipofuWewe hunufaiki na miradi inayotekelezwa? Ukiitwa pimbi utabisha?
Soma bajeti utakuta malipo ya madeni kuna Tilioni za kutosha zinalipwa
Hawa jamaa fiksi sana wameshasahauSi wanakusanya tozo ili kujenga madarasa na barabara za vijijini
Nimeshakwambia soma bajeti ya serikali ushahidi gani unataka? Vivu kabisa weweWeka ushahidi hapa