Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......

Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.

Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
 
Sililiza video dogo. Mbona unakuwa mwehu.
Umekula lakini!?
 
Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.

Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Imeisha hiyo. Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
 
Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.

Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Miaka ya 70s walileta ujinga wao kwa Nyerere akawafukuza wajerumani na Waingereza kama Mbwa koko na vipesa vyao akawarudishia, hawawezi kututisha na ujinga wao, wameambiwa kama wanao ushahidi kwa hayo wanayoyasema watoe ili tujadiliane, badala ya kuyaleta ili yatolewe majibu, wao wanatishia na misaada, wajinga sana hawa
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mbona wao hawakumtuma balozi wao aliyepo Tanzania?, wacha kujishusha, hawawezi kutufanya lolote hawa, wanadhani Tanzania ni Kenya ambayo wanaitikisa wapendavyo.
 
Nyie endeleeni kuwafanya Watanzania wajinga. Hii siyo ya Wazungu. Wala msiifanye issue ya Wazungu. Hii ni issue ya Watanzania ambao uchaguzi wao umevurugwa na haki yao ya kuchagua viongozi wao kuporwa.

Back
Top Bottom