Tanzania yaiteka mioyo ya wawekezaji

Tanzania yaiteka mioyo ya wawekezaji

Ndugu zangu watanzania,

Kwa Sasa Tanzania ndio Habari ya mjini katika suala Zima la Kasi ya ukuaji wa uchumi, Tanzania imeviteka vyombo na Taasisi mbalimbali za kimataifa juu ya kufanya vizuri katika uchumi, Tanzania inatabiliwa kufanya kiuchumi vizuri kupita nchi zote za ukanda huu wa Afrika mashariki, kutokana na mazingira mazuri ya kiuwekezaji na kibiashara ,Sera nzuri za kiuchumi, kuimarika kwa demokrasia nchini,utawala Bora na kuheshimu misingi ya kisheria katika kuendesha nchi,Uhuru wa vyombo vya habari ,mahakama ,Sera zinazotabilika ,Miundombinu imara na Bora ,umeme wa uhakika hasa kuanzia mwakani tutakapoanza uzalishaji wa umeme wa kutosha baada ya kukamilika na kuanza Uzalishaji Wa Umeme kupitia Bwawa la mwalimu Nyerere.

Hali hii imeiteka mioyo ya wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa kutoka maeneo mbalimbali Duniani, Ikumbukwe ya kuwa wawekezaji wanapenda kuwekeza pesa zao sehemu na mahali penye amani ,usalama na utulivu,Sera nzuri za kiuchumi na zinazotabirika,utawala Bora, Demokrasia ya kutosha n.k.

Sasa Tanzania chini ya Nahodha wetu na jemedari wetu,jasusi wa kiuchumi,komandoo wa kisiasa,nguli wa Diplomasia,Jasiri muongoza njia ,shujaa wa Uchumi mama Samia suluhu Hassani ni salama Sana ,Tulivu Sana,Sera nzuri za kiuwekezaji, demokrasia na utulivu wa kisiasa , mazingira mazuri ya kiuwekezaji na kibiashara imekuwa ulimbo na sumaku ya kuwanasa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa.

Sasa macho,kiu ya wawekezaji ni kuleta madollar Yao kuja kuwekeza Tanzania,Ni kuja Kufungua mabiashara Yao Tanzania,ni kuja na mafursa ya kiuchumi Tanzania,maana imeonekana Tanzania kwa Sasa Ndio eneo linalolipa kiuwekezaji na kibiashara.

Hii ni kwa kuwa Hakuna mwekezaji ambaye anaweza kuhatarisha fedha zake na kuwekeza mahali palipo na migogoro ya kisiasa,Sera mbovu za kiuchumi,Sheria mbaya kiuwekezaji,udikiteta,Sera zisizo tabirika,viongozi wasiozingatia utawala Bora na wenye kuzingatia misingi ya kisheria ,matamko ya kisiasa kuwa yenye nguvu na juu kuliko sheria na Sera.

Ndio maana Tanzania inaendelea kukomba na kubeba wawekezaji wote wanaotua katika Bara la Afrika,ndio maana Tanzania inaendelea kufanya vizuri Sana kiuchumi kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji hapa nchini,ndio maana mapato yameongezeka kufikia Trioni mbili kwa Mwezi,ndio maana mzunguko wa fedha Ni mzuri Sana na wenye Afya mitaani,ndio maana ajira zinaendelea kuongezeka mitaani kutokana na miradi inavyoendelea kujengwa mitaani,ndio maana Hali ya kimaisha ya watanzania Ni nzuri ukilinganisha na majirani zetu.

Ndio maana Tanzania na watanzania ni wenye furaha,amani na matumaini makubwa Sana katika mioyo Yao,ndio maana kipato na maisha ya kaya moja moja inaendelea kuwa njema na nzuri,ndio maana kwa Sasa kila mtanzania Anayo matumaini ya kutimiza Ndoto zake, ndio maana Biashara zinaendelea kushamiri mitaani na kufanya vizuri, ndio maana shughuli za kiuchumi na kibiashara zinafunguliwa kwa wingi Sana mitaani.

Ndio maana watanzania wanaheshimika Sana kwa Sasa,ndio maana kwa Sasa Tanzania inaaminika Sana na Taasisi na jumuia za kimataifa,ndio maana sauti ya Tanzania inaheshimika na kusikilizwa kimataifa,ndio maana Tanzania Ni Kama ufunguo ufunguao kila kufuri,ndio maana Tanzania inapata chochote itakacho kutoka popote na kwa yeyote na ndio maana Tanzania kwa Sasa inaandikwa kwa mazuri kimataifa na kupongezwa kwa mengi mazuri,ndio maana kwa Sasa Tanzania Ni nchi inayopigiwa mfano katika ukuaji na Sera nzuri za kiuchumi.

Hii yote Ni kutokana na maono makubwa aliyo nayo Rais wetu mama Samia suluhu Hassani aliyeamua kuifungua nchi na kuleta fursa nchini,aliyeamua kuitambulisha Tanzania na fursa za kiuwekezaji zilizopo katika anga la kimataifa,aliyeamua kuifanya Tanzania kuwa sumaku ya wawekezaji wote,aliyeamua Kuiteka mioyo ya wawekezaji kwa Sera nzuri za kiuwekezaji,Ni Rais Samia na serikali yake Ndio wameleta Neema hii kwa Taifa letu, Ni Rais Samia wetu na serikali yake walioleta heshima hii kwa Taifa letu ,Ni Rais Samia na serikali yake ya CCM wanayoifanya Tanzania miaka michache ijayo kuwa DUBAI ya Afrika na nchi ya ahadi.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627

Habari hizo
Upuuzi mtupu huku Kisemvule tupo na Wachina na viwanda vyao wanalipa day work 5000 you can imagine shiling 5000 unaitumiaje yaani less than 2 US dollars ukiumia kiwandani juu yako utajijuwa kwahakika mliochukuwa dhamana Allah anawaona Huyo Mbungu Abdallah Ulega wa Kisemvule au mkuu wa wilaya hawna msaada wowote.
 
Ni kweli kwasababu development demands ni kubwa kuliko local supply hivyo tutaendelea kukopa, grants na kutembeza bakuli!

Nikweli unakuwa na soon tunakwenda kuogoza bara zima la Africa once SGR in full swing, LNG in place, JNHPP in full capacity, EACOP in full operation, Bagamoyo port is full operation, zile used cars yards za Japan na Dubai zinahamia Bagamoyo!, no any African country can compete!.

No hawatupaki matope, wanatufadhili!.

Deni ni kubwa liko kwenye taarifa ya CAG ila ni himilivu!.

Yes indeed!.
P
Na unajuwa bado Wa-Tanzania ni masikini kupindukia .Na Ulaji wa Wa-Tanzania ni mlo mmoja kwa siku? Maisha yamekuwa ni magumu kwa M-tanzania wa hali ya chini walipaji kodi ndio hao wanaolishwa mlo mmoja kwa siku halafu bado unasema uchumi unakuwa? huo uchumi unakuwa kwa Viongozi wa Seriakli waliopo madarakani wakati Wananchi wapo masikini na nchi yetu ni tajiri?Rushwa ipo kila sehemu Matajiri wanakwepa kulipa kodi Serikali inawalipisha kodi matajiri kwa unafuu aka kidogo kuliko hata kwa wananchi walala hoi halafu unasema uchumi unakuwa? Umeme wa mgao maji hakuna safi na Deni la Taifa kila kukicha linaongezeka kwenda juu. Tutalimaliza lini hilo Deni la Taifa? Au ndio tusema Mama anaupiga Wingi kweli.

samia.png
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa Sasa Tanzania ndio Habari ya mjini katika suala Zima la Kasi ya ukuaji wa uchumi, Tanzania imeviteka vyombo na Taasisi mbalimbali za kimataifa juu ya kufanya vizuri katika uchumi, Tanzania inatabiliwa kufanya kiuchumi vizuri kupita nchi zote za ukanda huu wa Afrika mashariki, kutokana na mazingira mazuri ya kiuwekezaji na kibiashara ,Sera nzuri za kiuchumi, kuimarika kwa demokrasia nchini,utawala Bora na kuheshimu misingi ya kisheria katika kuendesha nchi,Uhuru wa vyombo vya habari ,mahakama ,Sera zinazotabilika ,Miundombinu imara na Bora ,umeme wa uhakika hasa kuanzia mwakani tutakapoanza uzalishaji wa umeme wa kutosha baada ya kukamilika na kuanza Uzalishaji Wa Umeme kupitia Bwawa la mwalimu Nyerere.

Hali hii imeiteka mioyo ya wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa kutoka maeneo mbalimbali Duniani, Ikumbukwe ya kuwa wawekezaji wanapenda kuwekeza pesa zao sehemu na mahali penye amani ,usalama na utulivu,Sera nzuri za kiuchumi na zinazotabirika,utawala Bora, Demokrasia ya kutosha n.k.

Sasa Tanzania chini ya Nahodha wetu na jemedari wetu,jasusi wa kiuchumi,komandoo wa kisiasa,nguli wa Diplomasia,Jasiri muongoza njia ,shujaa wa Uchumi mama Samia suluhu Hassani ni salama Sana ,Tulivu Sana,Sera nzuri za kiuwekezaji, demokrasia na utulivu wa kisiasa , mazingira mazuri ya kiuwekezaji na kibiashara imekuwa ulimbo na sumaku ya kuwanasa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa.

Sasa macho,kiu ya wawekezaji ni kuleta madollar Yao kuja kuwekeza Tanzania,Ni kuja Kufungua mabiashara Yao Tanzania,ni kuja na mafursa ya kiuchumi Tanzania,maana imeonekana Tanzania kwa Sasa Ndio eneo linalolipa kiuwekezaji na kibiashara.

Hii ni kwa kuwa Hakuna mwekezaji ambaye anaweza kuhatarisha fedha zake na kuwekeza mahali palipo na migogoro ya kisiasa,Sera mbovu za kiuchumi,Sheria mbaya kiuwekezaji,udikiteta,Sera zisizo tabirika,viongozi wasiozingatia utawala Bora na wenye kuzingatia misingi ya kisheria ,matamko ya kisiasa kuwa yenye nguvu na juu kuliko sheria na Sera.

Ndio maana Tanzania inaendelea kukomba na kubeba wawekezaji wote wanaotua katika Bara la Afrika,ndio maana Tanzania inaendelea kufanya vizuri Sana kiuchumi kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji hapa nchini,ndio maana mapato yameongezeka kufikia Trioni mbili kwa Mwezi,ndio maana mzunguko wa fedha Ni mzuri Sana na wenye Afya mitaani,ndio maana ajira zinaendelea kuongezeka mitaani kutokana na miradi inavyoendelea kujengwa mitaani,ndio maana Hali ya kimaisha ya watanzania Ni nzuri ukilinganisha na majirani zetu.

Ndio maana Tanzania na watanzania ni wenye furaha,amani na matumaini makubwa Sana katika mioyo Yao,ndio maana kipato na maisha ya kaya moja moja inaendelea kuwa njema na nzuri,ndio maana kwa Sasa kila mtanzania Anayo matumaini ya kutimiza Ndoto zake, ndio maana Biashara zinaendelea kushamiri mitaani na kufanya vizuri, ndio maana shughuli za kiuchumi na kibiashara zinafunguliwa kwa wingi Sana mitaani.

Ndio maana watanzania wanaheshimika Sana kwa Sasa,ndio maana kwa Sasa Tanzania inaaminika Sana na Taasisi na jumuia za kimataifa,ndio maana sauti ya Tanzania inaheshimika na kusikilizwa kimataifa,ndio maana Tanzania Ni Kama ufunguo ufunguao kila kufuri,ndio maana Tanzania inapata chochote itakacho kutoka popote na kwa yeyote na ndio maana Tanzania kwa Sasa inaandikwa kwa mazuri kimataifa na kupongezwa kwa mengi mazuri,ndio maana kwa Sasa Tanzania Ni nchi inayopigiwa mfano katika ukuaji na Sera nzuri za kiuchumi.

Hii yote Ni kutokana na maono makubwa aliyo nayo Rais wetu mama Samia suluhu Hassani aliyeamua kuifungua nchi na kuleta fursa nchini,aliyeamua kuitambulisha Tanzania na fursa za kiuwekezaji zilizopo katika anga la kimataifa,aliyeamua kuifanya Tanzania kuwa sumaku ya wawekezaji wote,aliyeamua Kuiteka mioyo ya wawekezaji kwa Sera nzuri za kiuwekezaji,Ni Rais Samia na serikali yake Ndio wameleta Neema hii kwa Taifa letu, Ni Rais Samia wetu na serikali yake walioleta heshima hii kwa Taifa letu ,Ni Rais Samia na serikali yake ya CCM wanayoifanya Tanzania miaka michache ijayo kuwa DUBAI ya Afrika na nchi ya ahadi.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627

Habari hizo
images.jpeg
 
mleta mada hata shule hujaenda vizuri unakuja vitu vya kingeseee, tofautisha kwanza L na R kwanza yaani mnakera
 
Mama yumo humu afanye tu hata kukutumia chochote maana sio kwa kumpamba huku...hadi ye mwenyewe akipita na kusoma hizo sifa unazompa anabaki kukushangaa na kutoa macho!

Hakika kuna watu ni maalum & adimu sana pale wanapokuwa na agenda yao wanaisukuma kipekee sana...Lucas Mwashambwa nimekukubali & kukuvulia kofia.
Kimsingi kusifu na kuabudu kiongozi mkuu iliasisiwa hasa awamu ya mwendazake na sasa imeshika kasi na mama ameipa baraka zote.
Kwakweli kama nchi tunatia aibu sana, sina hakika kama kuna taifa jingine ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki linalofanya mambo ya hovyo hivi.
 
Hii namba ya simu usiache kuweka kwenye thread zako IPO siku utapata UTEUZI
 
Lucus msambwanda unauweka msambwanda wako hatarini kwa huo uchawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha eti yaiteka mioyo ya wawekezaji, hawa hawa wahindi, waarabu na Wazungu huku weusi wakiwa wapagazi na watumwa wao in modern way.

Nguvu kubwa ielekezwe kuwajengea uwezo watanzania wazawa weusi ili wawe wawekezaji wenyewe kwa wingi na uchumi wote ubaki hapa.... kama ilivyo mataifa mengine...

Hizi sifa zakujifanya tunapendwa na wawekezaji ilihali wapo kuhamisha uchumi na kuwaacha watanzania wabaki wachuuzi na kuendeleza fikra za kitumwa.
 
Serikali ya Rais Samia inafanya kazi kubwa pia ya kuwasaidia na kuwawezesha wazzawa ili waweze kuwekeza katika miradi mikubwa kwa kuwapa kipaombele na kuwasaidia pale wanapokwama
 
Upuuzi mtupu huku Kisemvule tupo na Wachina na viwanda vyao wanalipa day work 5000 you can imagine shiling 5000 unaitumiaje yaani less than 2 US dollars ukiumia kiwandani juu yako utajijuwa kwahakika mliochukuwa dhamana Allah anawaona Huyo Mbungu Abdallah Ulega wa Kisemvule au mkuu wa wilaya hawna msaada wowote.
Unganeni kudai malipo mazuri kulingana na kazi mnazofanys ,Sasa nyie mmekubali hayo maalipo na mnaendelea na kazi kwa hiyari yenu halafu unakuja hapa kulalamika, serikali yetu itajuwaje Kama mnanyonywa kulingana na ugumu na ukubwa wa kazi mnazofanya ikiwa hamjatoa taarifa popote juu ya kupewa malipo madogo ukilinganisha na kazi pamoja na muda mnaokaa kufanya kazi?
 
Mama yumo humu afanye tu hata kukutumia chochote maana sio kwa kumpamba huku...hadi ye mwenyewe akipita na kusoma hizo sifa unazompa anabaki kukushangaa na kutoa macho!

Hakika kuna watu ni maalum & adimu sana pale wanapokuwa na agenda yao wanaisukuma kipekee sana...Lucas Mwashambwa nimekukubali & kukuvulia kofia.
Kimsingi kusifu na kuabudu kiongozi mkuu iliasisiwa hasa awamu ya mwendazake na sasa imeshika kasi na mama ameipa baraka zote.
Kwakweli kama nchi tunatia aibu sana, sina hakika kama kuna taifa jingine ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki linalofanya mambo ya hovyo hivi.
Rais wetu mama Samia suluhu Hassani Anastahili pongezi ,Anastahili kutokana na kazi kubwa na ya kipekee aliyoifanya ndani ya muda mfupi Sana wa uongozi wake iliyoleta matumaini na Tabasamu Katika Mioyo ya watanzania,amefanya Mambo yaliyogusa nyoyo na maisha ya watanzania,ameleta furaha katika maisha ya watu.

Rais Samia amewafuta machozi watu katika shughuli zao,amewafuta machozi wakulima kwa kuwapatia Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni , mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Amewafuta machozi wafanyabiashara kwa kuwawekea mazingira mazuri ya kibiashara pamoja na kujenga mazingira na mahusiano mazuri yaliyopelekea kuaminiana na kulipa mapato kwa hiyari Hali iliyopelekea kuongezeka kwa mapato kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo kukimbizana Wala kufungiana biashara mitaani
 
Hakuna muwekezaji mwenye manufaa hata mmoja , wezi tu hao.

Mtu anakuja na dola milioni 400 hela ambayo watanzania wenyewe wanazo halafu unampa rasilimali muhimu Bure Bure tu kwa masazo ya Kodi na ajira za kuhesabu.
 
Tanzania IPO makini Sana katika suala la uwekezaji ,kwa kuhakikisha kuwa inampokea muwekezaji mwenye dhamira ya kuwekeza na anayekidhi vigezo katika eneo analohitaji kuwekeza
 
Hii namba ya simu usiache kuweka kwenye thread zako IPO siku utapata UTEUZI
Mimi siandiki kwa ajili ya kutafuta Fadhila Bali naandika ukweli na uhalisia wa Mambo wa namna mh Rais wetu mama Samia alivyofanya kazi kubwa ya kimapinduzi katika kila secta hapa nchini,na kufanya uchumi wetu kuwa na Kasi kubwa ya ukuaji ukilinganisha na majirani zetu,kwa Sasa Tanzania inacheza katika uwanja wake katika suala la ukuaji wa uchumi,Ni gumzo kila mahali
 
Tanzania IPO makini Sana katika suala la uwekezaji ,kwa kuhakikisha kuwa inampokea muwekezaji mwenye dhamira ya kuwekeza na anayekidhi vigezo katika eneo analohitaji kuwekeza
Hakuna uwekezaji wowote tumewahi nufaika nao.

Majigambo tu ya wanasiasa Ina manufaa kwa wananchi ni sifuri.

Hakuna huduma hata moja muhimu imemfikia mwananchi unayoweza sema ni matunda ya Rasilimali zetu.

Wanaonufaika ni wanasiasa tu na familia zao.
 
Back
Top Bottom