Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
274
Reaction score
646
Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla.

Kiteknolojia

Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa kutengeneza na kuhudumia miundombinu ya reli, kupunguza utegemezi wa nje na kukuza ujuzi kwa wataalam wazawa.

Kiuchumi

Gharama za kuagiza vichwa vya treni kutoka nje zitapungua kwa kiasi kikubwa aidha ajira mpya zitazalishwa na fedha kubaki ndani ya nchi na kuimarisha uchumi wa viwanda.

Kwa Shirika (TRC)

Hii ni fursa ya kuongeza ufanisi wa huduma, kupunguza muda wa matengenezo, na kuboresha upatikanaji wa treni kwa abiria na mizigo.

Mtazamo wa Baadaye
Tanzania inaweka msingi wa kuwa kitovu cha teknolojia ya reli Afrika Mashariki na Kati.
#ReliYetukwaMaendeleoYetu #MadeInTanzania #UchumiWaViwanda

Mwogopeni Mungu na uongo wenu. Tangu enzi za mkoloni hapo wshop ya Dsm wanaunganisha na kukarabati vichwa vya Treni.

Kwanza zile wshop alizoacha mkoloni hapo Stesheni Dsm bado zipo? Zote zinafanya kazi?
Ile ya injini ya pale Morogoro je? Bado ipo?
 
Kazi nzuri , kongole kwenu
 
Kama ni kweli safi sana,
N.B: ntakuwa wa mwisho kuamini
 
Mwogopeni Mungu na uongo wenu. Tangu enzi za mkoloni hapo wshop ya Dsm wanaunganisha na kukarabati vichwa vya Treni.

Kwanza zile wshop alizoacha mkoloni hapo Stesheni Dsm bado zipo? Zote zinafanya kazi?
Ile ya injini ya pale Morogoro je? Bado ipo?
Nilitaka namikuuliza Mkuu. Ngoja tusubiri majibu.
 
Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla.

Kiteknolojia

Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa kutengeneza na kuhudumia miundombinu ya reli, kupunguza utegemezi wa nje na kukuza ujuzi kwa wataalam wazawa.

Kiuchumi

Gharama za kuagiza vichwa vya treni kutoka nje zitapungua kwa kiasi kikubwa aidha ajira mpya zitazalishwa na fedha kubaki ndani ya nchi na kuimarisha uchumi wa viwanda.

Kwa Shirika (TRC)

Hii ni fursa ya kuongeza ufanisi wa huduma, kupunguza muda wa matengenezo, na kuboresha upatikanaji wa treni kwa abiria na mizigo.

Mtazamo wa Baadaye
Tanzania inaweka msingi wa kuwa kitovu cha teknolojia ya reli Afrika Mashariki na Kati.
#ReliYetukwaMaendeleoYetu #MadeInTanzania #UchumiWaViwanda

Nyerere alikuwa na maono makubwa na ya mbali kuliko haya mnayoyafanya sasa! Lakini mwisho wa siku kila kitu kilikufa kwa sababu tu kukosekana kwa uzalendo, kushamiri kwa vitendo vya ufisadi, wizi, rushwa, na ubinafsi uliokithiri baina yenu.
 
Back
Top Bottom