Tanzania ya viwanda

Tanzania ya viwanda

denzel

New Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
4
Reaction score
3
Ni muda sasa wa Tanzania kubuni na kuuza bidhaa za ki electronic kama ilivyo China na mataifa mengine ya ulaya na kuweza kuwauzia wao kama wanavyotuuzia sisi.

Tuna vijana wenye akili sana na ubunifu wa hali ya juu na endapo itaanzishwa platform ya kuweza kuwasaidia basi miaka michache ijayo hatutakua na tofauti na China.

Huyu mmoja kabuni kochi lenye music system na lina features nyingi kama, Bluetooth, Fm radio, usb port, aux cord, memory card port, taa, shelf, draw, socket ya kuchajia sim na laptop.

Finishing ni nzuri sana na garama ni nafuu, ukiliitaji 0744852976

IMG_20210227_125158_679.jpg

View attachment 1721145
View attachment 1721149
View attachment 1721152
 
Back
Top Bottom