Kipaumbele namba moja ni kuua upinzani hasa Chadema.Serikali ina vipaumbele vyake ,
Hahaaa! Eti chadema wamlivujisha mtihani wa la saba!!!.....Musiba ni shida.Ni Chadema ndiyo inawasababishia hawa watoto wateseke, kazi yao kutapanya hela kununua wabunge na madiwaniwa CCM kisha kurudia chaguzi.
darasa la kwanza, daftari nilikuwa naweka mfukoni alafu hiyo sport najaza mazaga ya kula ya mshikaji wangu mmoja alikiwa hana akili darasani ila anahela. Nikaamua kuwa mbeba misosi yake maana mimi sikuwa na hela ila nilikuwa na apetite hatari.Umekumbuka wapi mkuu?
Haaa haaa ukiwa huna kitu njaa inakuja mara 2darasa la kwanza, daftari nilikuwa naweka mfukoni alafu hiyo sport najaza mazaga ya kula ya mshikaji wangu mmoja alikiwa hana akili darasani ila anahela. Nikaamua kuwa mbeba misosi yake maana mimi sikuwa na hela ila nilikuwa na apetite hatari.
Tuwekee ya Tanzania mkuuUna uhakika hii picha ni ya Tanzania?
Hiyo.Tuwekee ya Tanzania mkuu
Ahahahaaaaa hawa ni wa Sitimbi?