Tanzania Ya Viwanda!

Tanzania Ya Viwanda!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1539277346274.jpg
 
Wasioipenda nchi yao utawajua tu
Asiyeipenda nchi yake ni yule anayenunua bombardier na dreamliner na kuacha wananchi wake wakiwa kwenye msoto mkali.Ni sawa na baba kununua "Land cruiser " Huku watoto wanalala na njaa,yeye anadai maendeleo!
 
Asiyeipenda nchi yake ni yule anayenunua bombardier na dreamliner na kuacha wananchi wake wakiwa kwenye msoto mkali!
Ni kutokuelewa tu, kama nchi ni maskini mwenye uwezo wake asipande ndege?
Huko nyuma tulikua maskini zaidi ya sasa lakini ndege zilikuwepo tena nyingi tu, mafisadi sio watu wazuri,
Mwache atunyooshe tulikua tumepinda sana
 
Sio kila mahali serikali itajenga shule,Tanzania ni kubwa sana .Inatakiwa wanakijiji kwa pamoja wajenge madarasa,ofisi za waalimu na vyoo na hapo serikali italeta waalimu na vitabu vya kusoma.
 
Sio kila mahali serikali itajenga shule,Tanzania ni kubwa sana .Inatakiwa wanakijiji kwa pamoja wajenge madarasa,ofisi za waalimu na vyoo na hapo serikali italeta waalimu na vitabu vya kusoma.
Wasingenunua bombardier na Dreamliner madarasa mangapi yangejengwa?
 
Ni kutokuelewa tu, kama nchi ni maskini mwenye uwezo wake asipande ndege?
Huko nyuma tulikua maskini zaidi ya sasa lakini ndege zilikuwepo tena nyingi tu, mafisadi sio watu wazuri,
Mwache atunyooshe tulikua tumepinda sana
Kununua ndege serikali iachie sekta binafsi yenyewe ijikite kutatua changamoto za wananchi wake.Kwenye maisha lazima upatie kuwa na vipaumbele vinginevyo utafanya yasiyo ya lazima kwa kipindi hicho.Ununuzi wa ndege sio jambo la lazima kama ilivyo kwa shule na zahanati/Vituo vya afya/hospital!
 
Back
Top Bottom