Hivi hawa viongozi wanatoa wapi ujasiri wa kuongea na kutolea maelezo ya kusadikika kama komedian juu ya maauala njeti mno kwa uchumi na maisha ya watu.Kwenu,
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, ametoa taarifa ya serikali kuhusu malengo ya kujenga Tanzania ya viwanda.
Kwa mujibu wa waziri, mpaka sasa tumefikisha viwanda 1285,sawa na 49% ya lengo ndani ya robo ya muda. Hii ni hatua nzuri lakini hesabu zake ni ngumu.