essy sensei
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 313
- 362
Watuambie na ajira iliyotokana na hivyo viwanda aisee, 1285 is not a joke!
hahaha!Kwenu,
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, ametoa taarifa ya serikali kuhusu malengo ya kujenga Tanzania ya viwanda.
Kwa mujibu wa waziri, mpaka sasa tumefikisha viwanda 1285,sawa na 49% ya lengo ndani ya robo ya muda. Hii ni hatua nzuri lakini hesabu zake ni ngumu.
Kwani huko kwenu Kenya mna marais wangapi?Hivi mimi ndio sina macho ?!! Kama viwanda ndio hivyo basi tumeipiku Japan na China !!!
Hujaenda shule heri ukae kimyaVyerehani vitatu ni kiwanda.
Tehe tehe teh..
Kwenu,
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, ametoa taarifa ya serikali kuhusu malengo ya kujenga Tanzania ya viwanda.
Kwa mujibu wa waziri, mpaka sasa tumefikisha viwanda 1285,sawa na 49% ya lengo ndani ya robo ya muda. Hii ni hatua nzuri lakini hesabu zake ni ngumu.
Hawa watu wenye kupiga fix ndio Magufuli anawapenda sana ! Basi haya tuseme kweli viwanda hivyo vipo , lakini vinatengeneza bidhaa gani na zinauzwa wapi ?Kwenu,
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, ametoa taarifa ya serikali kuhusu malengo ya kujenga Tanzania ya viwanda.
Kwa mujibu wa waziri, mpaka sasa tumefikisha viwanda 1285,sawa na 49% ya lengo ndani ya robo ya muda. Hii ni hatua nzuri lakini hesabu zake ni ngumu.
Tanzania haiwezi kuwa na viwanda ,kutokana na harama kubwa za Kodi ,usafiri ,umeme ,miundo mbinu , elimu Nk.Acha unafiki mkuu