Tanzania ya viwanda: Je, serikali ya CCM inayo dira sahihi kufikia ndoto hii?

Punguza kucopy mawazo ya wajjane na masuria ka mangee...jadili hoja kwa kina,
Ww ni jinga lao kweli. Hiyo buku 7 za mzee pole pole unatumia mpaka ma.ka.li.o kufikiri.
Ww mke wa bashite wa kolomije, bado unaamin itakuwa nchi ya vi. Wonder? Kwa fedha ipi na bageti ipi kwa mfano? Iliyopo tu imefeli 34% u
ukiwa ccm unafikiri na kusema kwa kutumia m.ku.ndu
 
Kwanza magufuri si aliisha yazuia haya mashirika kuwekeza kwenye majengo akayataka yaanze kuwekeza kwenye viwanda.

Kwanini hayo maelekezo hayatekelezwi?
 
CCM ya tanzania na viwanda ni v2 viwil tofaut wao wanaviwanda vya Ufisad, utekaj nyara wanaharakat, kufoji vyeti, kuinajis katiba, udikteta uchwara CCM ya viwanda ipo nchi za wengne sio tanzania
 
Viwanda msitegeme kuanzishwa na serikali hii!
Ni blah blah tu.....
LEO nilikuwa mingoi,bagamoyo kuna Jamaa nmeenda mtembelea Yuko ktk mchakato wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mabati...
Watu wanafanya mambo kimya kimyaaa siyo kwa maneno....

Ova
Mdogo mdogo na kwa haraka pia yote yatawezekana
 
Back
Top Bottom