Tanzania ya vibweka

Tanzania ya vibweka

Sasa kujua kuwa lissu kapigwa risasi inanisaidia kupata chakula na ada ya watoto wangu? Yaani akili yako yote imeganda kwa lissu kupigwa risasi? Yeye ni nani nchi hii?
hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wako,hakuna niliposema kuwa kujua lissu kupigwa risasi kunakupatia wewe chakula au ada ya watoto wako.
hapa hata huitaji phd kuelewa namaanisha nini.. huwezi kujua kitu kama hujajishughulisha kujua na kadri unavyodhidi kukaa mbali ndivyo unavyodhidi kuachwa (+) way.
 
They are very powerful but in a negative way. The perfect example is what is going on in our beloved country.


17713aa64267e0e8254b5c5d825c8c87.jpg
 
Back
Top Bottom