Haaa hii umesema wewe acha kumsingizia. Mange angesema. " nakojoaaaaaaaaaaaaaaa"Dada Mange Kimambi anakwambia stupid
Sasa kujua kuwa lissu kapigwa risasi inanisaidia kupata chakula na ada ya watoto wangu? Yaani akili yako yote imeganda kwa lissu kupigwa risasi? Yeye ni nani nchi hii?kuna watu wanasubiria kupiga kura tu! hawajui maswala ya siasa.. ati kuna wengine hawajui lisu kapigwa risasi..! utashangaa kweli tz ya vibweka😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaa hii umesema wewe acha kumsingizia. Mange angesema. " nakojoaaaaaaaaaaaaaaa"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana hapa ni JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Kusema ukweli kunadiversification imefanyika lumumba. Wameshusha container la jesh la buku saba fc. Mi nildhani ni mitandaoni tu. Kumbe hata barabarani.
huyo mwenye tracksuit ya njano na notebook kubwa ndye kabeba daftari la majina ya wanaoshiriki maandamano. Ili wakitok hapo walipane walioshriki tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Mkuu usijidanganye. Lakini kwa vile una kipaji cha dunia mbalimbali basi jaribu kutafiti huenda utagundua kuwa waafrika tuna vinasaba (hulka) vya kupenda kujiundia miungu watu. Ile kitu inayoitwa kwa kiingereza "personality cult". Manake inatuwia vigumu sana kuamini kuwa binadamu wa kawaida (anayefanana na sisi) anaweza kutuongoza inavyotakiwa.Hawafiki hata nusu ya robo[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kasema masikini wanaimani nae, nawe pia ni masikini?Safi sana
Bado tuna imani nae
Mshana wasiwasi wako ni nini? Je kama wanamaanisha kutokana na WAEBRANIA 11:1 " Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona."View attachment 606189
Lumumba buku7?
Yeremia 17:5Mshana wasiwasi wako ni nini? Je kama wanamaanisha kutokana na WAEBRANIA 11:1 " Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona."
Hao masikini hawajasema kuwa wanamtegemea, wamesema wanaimani nae, katika mambo watarajiayo (ndotoni) na mambo yasiyo onekana ( alinacha).Yeremia 17:5
Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
Chunguza katika ukoo wako wooooote uone kama kuna intellectual kama Lisu!Sasa kujua kuwa lissu kapigwa risasi inanisaidia kupata chakula na ada ya watoto wangu? Yaani akili yako yote imeganda kwa lissu kupigwa risasi? Yeye ni nani nchi hii?