HongeraTaifa Stars! Tuache kulalama .. Algeria ni timu kubwa tu.. Ki mahesabu Poulsen = Capello (au tunaweza kusema Tanzania = England kimchezo); wote tumetoa draw na Algeria

Starz ya sasa angekuwa nayo Maximo leo hii tungekuwa tunasema mengine, nikikosi bora kabisa kilichojaa wachezaji bora na wenye uzoefu wa kutosha: Poulsen ameshindwa kabisa kutoa mwongozo wa Starz kuweza kuibuka na ushindi na Wazi kwamba kazi imemshinda.