Tanzania uzalendo ni sifuri

Tanzania uzalendo ni sifuri

Tanzania ni nchi isiyokuwa na ideology kwa sababu ina mchangyiko mkubwa sana wa watu, Bantu, Cushtic, Nilotic, Arabs, hindis, na mchanganyiko wa hao. Hakuna ethnicity kubwa tanzania au kabila kwahiyo watu wanakosa kitu cha kujitambulisha nacho hivyo uzalendo au ule utambulisho umepotea. Pia lugha ya kiswahili imechangia pakubwa kupoteza
1. Utamaduni wa kikabila
2. Mila na desturi
3. Utambulisho

KWasbabu hiyo tanzania imekuwa rahisi kuitawala bila usumbufu kwasababu hakuna kkitu cha kuwavuta watu pamoja. Haina utambulisho aidha wa kitamaduni, muonekano, mapishi au hata hulka.

Ukiangalia kenya wanajitambulisha kwa makabila makubwa kama kikuyu, luo, kalenjin n.k SA kuna wazulu na xhosa.
Nigeria kuna igbo, hausa, Uganda kuna Baganda, Nyankole n.k.

Nchi hii imebakia kuwa kama ya wahamiaji haina mwenyewe ndio maana hamna uaendo wala uchungu sababu hizo hapo juu.
Umemaliza.
 
Ndio haupimwi kwa Bendera ila izo demonstration ndio vinaleta morali na patriotism. Kwa wenzety Jamaica Wana sherehe za kitamaduni zinavutia watu kimataifa. Bongo hii sherehe zetu ni za kuonyesha mitutu, hakuna uzalendo
Yule mvaa tai ya bendera ya taifa unahisi ni mzalendo?
 
Back
Top Bottom