Tanzania uzalendo ni sifuri

Tanzania uzalendo ni sifuri

P J O

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
241
Reaction score
316
Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?

Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?

Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?

Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?

Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?

Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
 
Uzalendo tunao sana tu mbona tunavaa za Simba na Yanga?
 
Uzalendo haupimwi tu kwa kuwa na bendera, kuvaa shati na kuimba nyimbo za taifa.

Uzalendo ni suala zima la kutetea raia wenzako dhidi ya serikali na mataifa ya nje.
 
Uzalendo wenzako wakula keki ya taifa ww unalilia hapa watoto wanasoma kayumba ya kidumu cha maji na mfagio
 
Wakati huo ukifanya hayo, wenzako uzalendo ni kulipwa mshahara 10M+ na perdiem ya 1m+
 
Ukiwa mzalendo ni hatari kwa maisha yako.. refer wazalendo(waliokwisha potea)
Unachopaswa kufanya ni Uchawa ndio watakupenda
 
Uzalendo haupimwi tu kwa kuwa na bendera, kuvaa shati na kuimba nyimbo za taifa.

Uzalendo ni suala zima la kutetea raia wenzako dhidi ya serikali na mataifa ya nje.
Ndio haupimwi kwa Bendera ila izo demonstration ndio vinaleta morali na patriotism. Kwa wenzety Jamaica Wana sherehe za kitamaduni zinavutia watu kimataifa. Bongo hii sherehe zetu ni za kuonyesha mitutu, hakuna uzalendo
 
Uzalendo tunao sana tu mbona tunavaa za Simba na Yanga?
Simba na Yanga si timu za kitaifa, kajifunze uzalendo Kwa wazanzibari. Kitaa wote wanavaa jezi zao za TAIFA. Bongo hii uzalendo tukasome
 
Niliwahi kwenda mkutano fulani nje ya nchi. Tukatengwa kinchi, Wabongo tulikuwa kama 20 hivi, tukajikuta hakuna kabisa mwenye bendera. Lakini wakenya uganda, zambia walikuwa na bendera zao. Ikabidi tukanunue
 
Mbaya zaidi kwenye mapambano hata ya wasanii wetu na wanariadha wakiwa wanapamba a kimataifa ni familia zao tu ndio wanawasapoti, ila wakifanikiwa hutasikia TRA wanataka Kodi
 
Unaweza kuwa mzalendo kwenye taifa ambalo mbunge analipwa 18.5m per month huku wewe ajira yako ni betting? Ukienda maofisini unaombwa rushwa.Uzalendo huletwa na uongozi kama kuna haki kila mtu atakuwa mzalendo
 
Uzalendo ni kununua bendera ok. Chura mwenyewe ni Dalali
KAZI ni kipimo cha utu
 
Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari?

Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania?

Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini?

Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki?

Je, viongozi wa Nchi wanahubiri uzalendo na Nationalism?

Mengine niwaachie mjitafakari ninyi....
Wengine wapige hela huko, halafu mimi nivae shati lenye bendera?
Kama mbwai na iwe mbwai
 
Tanzania ni nchi isiyokuwa na ideology kwa sababu ina mchangyiko mkubwa sana wa watu, Bantu, Cushtic, Nilotic, Arabs, hindis, na mchanganyiko wa hao. Hakuna ethnicity kubwa tanzania au kabila kwahiyo watu wanakosa kitu cha kujitambulisha nacho hivyo uzalendo au ule utambulisho umepotea. Pia lugha ya kiswahili imechangia pakubwa kupoteza
1. Utamaduni wa kikabila
2. Mila na desturi
3. Utambulisho

KWasbabu hiyo tanzania imekuwa rahisi kuitawala bila usumbufu kwasababu hakuna kkitu cha kuwavuta watu pamoja. Haina utambulisho aidha wa kitamaduni, muonekano, mapishi au hata hulka.

Ukiangalia kenya wanajitambulisha kwa makabila makubwa kama kikuyu, luo, kalenjin n.k SA kuna wazulu na xhosa.
Nigeria kuna igbo, hausa, Uganda kuna Baganda, Nyankole n.k.

Nchi hii imebakia kuwa kama ya wahamiaji haina mwenyewe ndio maana hamna uaendo wala uchungu sababu hizo hapo juu.
 
Umenena vyema, una busara na ujuzi mzuri.

Ina maana Kwa Nchi kama hii wakati wa vita ni hatari maana Kuna mamluki na waasi wengi
 
Back
Top Bottom